Kwa wanaume wa JF

Kwa wanaume wa JF

I hope utakuwa umenenepa pia maana bwana harusi anapenda mizigo[emoji28] "kaka yake nimesema"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] wee yeye atakua buzzy na mkewe, sio kunitazama mie.
 
Jamani.

Sidhani kama kuna mwanaume wa jf anayejua kutongoza.

Sisemi kwa ubaya ,ila wanaume wa jf wengi kuandika andika vicaption vya falsafa nyingi kama wanasomea phd ila vitendo asilimia kubwa ni sifuri.

Kwa Yoyote atakayeweza kunitongoza namkaribisha PM.

Nitakuja na mrejesho wapenzi.

Uwe na swaga.

Usiku mwema[emoji26]
View attachment 2786733
Duh
 
Back
Top Bottom