Zulu man
JF-Expert Member
- Nov 28, 2020
- 6,325
- 16,594
Usinitishe tafadhali labda uwe kijana wa kiume hapo nitakukimbia 280speed.Kuna mbwa mkali huogopi? [emoji23][emoji23][emoji23]
Usinitishe tafadhali labda uwe kijana wa kiume hapo nitakukimbia 280speed.Kuna mbwa mkali huogopi? [emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuu watu washakuja PM wanasema hii ni I'd yangu, yaan mie wa kuomba kutongozwaa kweliii??
Sadly
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hongera zake.Fabian Vitus anategemea kujinyakulia jiko
Kuhusu mlengwa anamficha maana waswahili mna wivu[emoji23]
Cute wife ndio kabadili jina nimsahau🤣We cheka tu [emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani Adi kutongozwa unaforce tukufwate .... mmmh kwa elimu yetu ya Vietnam kuna shida mahali fulani (Uo ni mtego)Jamani.
Sidhani kama kuna mwanaume wa jf anayejua kutongoza.
Sisemi kwa ubaya ,ila wanaume wa jf wengi kuandika andika vicaption vya falsafa nyingi kama wanasomea phd ila vitendo asilimia kubwa ni sifuri.
Kwa Yoyote atakayeweza kunitongoza namkaribisha PM.
Nitakuja na mrejesho wapenzi.
Uwe na swaga.
Usiku mwema[emoji26]
Mm simhitaji nilikua nataka tu kuthibitisha.
Ningeenda. Ila shanga si swaga zangu dogo, pamoja na Umasai wangu.Nenda PM acha uoga mzee[emoji23][emoji23][emoji23]
Khaaaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ndyoo uduguuu, tulijua tunazo sie tyuuh.Mlijua ndoa mnazo peke yenu na wizo? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Alafu nahisi huyu ni yule wizo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uduguuu watu washakuja PM wanasema hii ni I'd yangu, yaan mie wa kuomba kutongozwaa kweliii??
Sadly
Hii mwendo itakua Cc 5000 speed ngapi mahesabu jmn🤣Usinitishe tafadhali labda uwe kijana wa kiume hapo nitakukimbia 280speed.
Unazingua. Huwa mnaanzaga hivi hivi kiutani utani
Hapna namtaka mmoja tu humu🤣
🤣🤣🤣Nakazia apo apoYaani Adi kutongozwa unaforce tukufwate .... mmmh kwa elimu yetu ya Vietnam kuna shida mahali fulani (Uo ni mtego)
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uziii utafungwa huu.
Kaa kwa kutuliaNgoja kwanza ninywe maji
Vitu upendavyo[emoji23][emoji23][emoji23]
Hapo hata akisema atakutumia saa 9 usiku, upo tayari kuamka[emoji23]
Naomba Jf wabain machoko wote wake nje ya mstariTuone udugu [emoji23][emoji23][emoji23]
Kabisa kabisa,natumai mtamuonyesha ushirikiani akihitaji.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] hongera zake.
Basi ikawe kheri kwaooo.
Jamani mpenzi Uzi wangu una shida Gan?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] uziii utafungwa huu.