kwa wanaume upendo ni nini?

Hapo kwenye nyekundu, hata tukikuelezea vipi hutaelewa kwa kuwa wewe si mwanaume. Ila kama ungekuwa mwanaume usingeuliza swali hilo. Mfano, kwangu tendo la ndoa au ngono lina nafasi kubwa kuliko hayo malavidavi. Hata kama wewe ni mke wangu wa ndoa, haijalishi ni upendo gani unaweka kwangu, ila bao kwanza mpaka niridhike, then mengine yaendelee.
1. MEN LOVE THROUGH SEX, WOMEN SEX THROUGH LOVE.
2. MEN JUST LOOKS FOR A PLACE TO SEX, WOMEN NEED A REASON TO SEX MAN
...Nimeipenda hio ktk Red

mwanaume yeyote huanza na kutamani, utasikia I LOVE U, kila anayemtamani atamwambia I love you. Na ujue wanaume hawaoi out of love ndo maana ailimia kubwa huvutiwa na maumbo ya nje ya mwanamke. Ni tofauti na sisi wa jinsia ya -ke. Inabidi tuwaelewe hawa viumbe kwani ukiwa na matarajio ya kuutambua upendo wa mwanaume utaishia kulazwa hoapital kwa ajili ya headache.

Mwanaume unamfahanu siku zote unashindwaje kujua anaigiza au anasema anachoamini? Naelewa kama mmekutana supermarket na mara amakwambia anakupenda hapo kakutamani. Pendo linaweza kuja baadaye.

Hata hivyo aliye na pendo la kweli hatakimbilia sex. Naambiwa baadhi ya wasichana asipoambiwa habari ya kujamiana anamuona mwanaume hana pendo kwake

Jihadhari na mwanaume anayetaka sex kwa kisingizio cha kupenda. Huyu atakuwa ni mpenzi wa ngono.

Mwanaume ni kiumbe wa ajabu kidogo...inabidi uelewe hilo.. ameubwa na ka ubinafsi...wakati anakuja kwako anataka umsujudie; anataka wewe upate shida kwa ajili yake; anataka wewe umone yeye ni yeye na hakuna mwingine, anataka wewe daima uwe chini yake hata kama ni malkia..

Lakini yeye hataki hata kimoja cha hapo juu kiwe kwake kwa ajili yako wewe mwanamke..

Na bahati mbaya mnazibadilisha hizo ulizotaja hapo kua haki. Yaani Mwanamke asipofanya hivo anaonekana ana kiburi na dharau.

kupenda hakupo dunia ya leo. Wanawake wapo ki maslah zaidi, na wanaume wapo kingono zaidi.

hapana kupenda kupo blaza... sema mabinti wa kisasa humgeuza Mwanaume kama sehemu ya kutatua shida za zooooteeeee.... ndo mana sometimes twaamua.. Chapa ilale

Wakati mwanaume anakuja kwako ana mawili kichwani
Kuwa mpenzi wake na may be future wife wake. Ila kuna mambo ambayo yanatokea hapo kati unajikuta unaishia kutopenda ukajikuta unamtamani na unatamani kungonoka nae tuu na usiwe na malengo yoyote na mhusika.
Kuna wengine real inakuwa ni kuwa tunawatamani tuu na tunawatamani kungonoka nao na kuwaacha ila sitakuonyesha kuwa nakutamani ila nitakuwa na real love kwako ili nipate what i need
Yaani hujakaa kuwa mke ndo maana naishia kukutamani tuu
Na wengi wengu katika umri wa kabla ya ndoa asilimia kubwa ya wale tunaowaambia tunawapenda pale hakuna real love ila kutamani
Ikifikia ule umri sasa wa kuw ana mwenza hapo nitamtafuta mmoja ambaye nitampenda kweli na sio kumtamani
Kama ni mwanamke wa kutamani nikishalala nae sana inafikia kipindi unamchoka na unaamua kubadilisha au umemuona mwingine bomba kuliko wa kwanza hapo lazima ufanye juhudi za kumuacha yule wa kwanza hata kwa visa ili kupata mpya
Duh ni mawazo yangu tuu hayo usinipige mawe Ma Jerry
natamani nikujue nikupige konzi,ingawa ahsante kwa kuwa mkweli

Kwa iyo wanawake tufanyefe?

Chakufanya Muache kudanganya. Make utasema we bikira, siku ya mchezo, mh! unakuta ka bwawa vile, kwa nini mwanaume asichoke kwa kudanganywa?
Mi ilishawahi kunitokea aisee, kanikatalia muda mrefu sana aise, siku nimambahatisha, nikasema bora tu ningekata tamaa mapema. So wanawake kuweni wakweli na nyie.

hv wanaume mnajua kupenda?au mnajua tu kutamani? kwanini kungonoka kunakuwa kitu cha zaidi sana kwenye mapenzi
na kwa nini mnapenda kuachana saana baada ya kungonoka na sio kabla?

Hapo kwenye bold Kama una maanisha frequency au extent/intensity ya 'kungonoka',sioni kama ni tatizo maana ndyo kilio cha wadada wengi wa siku hizi -kwamba hawatosheki.Lakini kama unamaanisha priority,hilo ni suala la ww kuweza kutenganisha hao mapacha walioungana i.e tamaa na mapenzi au mwingine anaweza akasema moja ni stage ya mwingine i.e tamaa ya mwanaume inaweza ikageuzwa kuwa mapenzi in long run!-Jaribu

hv wanaume mnajua kupenda?au mnajua tu kutamani? kwanini kungonoka kunakuwa kitu cha zaidi sana kwenye mapenzi

na kwa nini mnapenda kuachana saana baada ya kungonoka na sio kabla?

Huwa nyege zinatusumbua sana.

Kwa iyo wanawake tufanyefe?

Jueni jinsi ya kupendwa sio makelele. wanawake wenyewe hamjui kupenda na mko tofauti kundi la kwanza mnapenda pesa. kundi la pili mnapenda ngono kama dawa kutwa mar3 ina wabidi msome jins ya kuish na mwanaume. hamjui mwanaume kwenu nikama yai inategemea na unavyo litunza ukiliachia linapasuka then ndio mwisho humega na kula kona. Mkiweza ku2jua mtadumu milele na cc kwa ushauri zaid pm

Mradi tuu usije ukaipiga keyboard yako kwa niaba yangu
nimesema ukweli sasa ulitaka niume ume maneno
usijali bora ukweli japo unauma,kuliko utapeli.ila nimejifunza,nikitongozwa,akili kichwani mwangu.nitakuwa nakumbuka maneno yako

usijali bora ukweli japo unauma,kuliko utapeli.ila nimejifunza,nikitongozwa,akili kichwani mwangu.nitakuwa nakumbuka maneno yako

Kumbuka sana na mwangalie yuko kwa lengo gani na anakuja na sera gani za kukuingilia
Mwambie wazi pia unanipenda au unanitamani maana akiwa wazi kwako japo ni ngumu kusema ila utaona mwelekeo

Hayo mambo uliyotaja hapo yapo tena kwa wanaume wengi but hata nyie wanawake mna mambo ya kufanana na hayo,wote sisi wanaume na nyie wanawake wengi hatujui maana halisi ya kupenda coz ni ngumu sana!Kupenda ni kumkubali mtu bila masharti,haijalishi kama nae anakupenda au la wewe ni kutoa upendo tu bila kutarajia kitu chochote,je unaweza?Lakini ukiwa hivi utaishi kwa furaha sana!Hautajali kama unapendwa ama la wewe ni kutoa upendo tu,kumbuka upendo upo kabla ya mahusiano ya kindoa!Put it on mind!

......nathani unaangalia sana tamthilia.....sasa uwe na mpenzi halafu msingonoke atakuwa wa kazi gani?nyie pia mnapenda ndio maana mpo fasta sana kuachia

Upendo unatengenezwa hauji kama mvua,tatizo la sasa kila mtu anaigiza kupenda,siyo mwanaume ama mwanamke,demu ana mind RAV4 ya mshikaji na mshikaji anamind mzigo wa demu alivyofunga teller,sasa hapo upendo upo wapi?

Back
Top Bottom