atafute C
nimeipenda iyo
kaaazi kweli kweli ... amesema kwa wanaume tuu, wewe umefuata nini hukuafuate anayempenda obvious ni mmoja tu
watu wanahangaika kutafuta wake wa kulea familia afu yeye anaremba mwandiko hapa.!!
Au anaringia kwamba nina wife material namchanganya na mitoko material
bora atafute C wenye akili waoe A
Kuna mabinti wawili, A na B.
A ana sifa zifuatazo.
1. Ni mchapakazi, anapenda sana maendeleo
2. Anajali kiasi, na ni mwaminifu sana katika mahusiano.
3. Ni mzuri kiasi. ( putting everyting together)
4. Kwenye mapenzi hayupo sana. (mnaweza mkakaa hata miezi 6 bila kuduu na haulizi, ila ukitaka anakupa na sio mtundu kabsa)
5. Unaaweza usimfurahie sana mkitoka wote out.
in short, kwenye maendeleo ni 90%, kwenye mapenzi ni 10%.
B. ana sifa zifuatazo.
1. Hayuko serious sana na Maisha. (sio mtafutaji kiviile)
2. Hajali sana, na katika mahusiano ni kaugonjwa kamoyo kama unamfuatilia.
3. Ni mzuri kuzidi A.
4. Kwenye mapenzi yuko juu sana. Anajua nini mwanaume anataka katika tasnia ya mapenzi.
5. Anavutia sana kutoka nae out coz ni mcheshi, na mtundu sana.
Inshort, kwenye maendeleo ni 30%, kwenye mapenzi ni 70%.
Mtu yuko njiapanda. Maendeleo katika familia au furaha katika maisha??
ushauri tafadhali.
lol! huyo A coz hayo ya mapenzi na ucheshi atamtengeneza tu na ataweza labda na yy awe hajui hayo mambo ya mapenzi.Kuna mabinti wawili, A na B.
A ana sifa zifuatazo.
1. Ni mchapakazi, anapenda sana maendeleo
2. Anajali kiasi, na ni mwaminifu sana katika mahusiano.
3. Ni mzuri kiasi. ( putting everyting together)
4. Kwenye mapenzi hayupo sana. (mnaweza mkakaa hata miezi 6 bila kuduu na haulizi, ila ukitaka anakupa na sio mtundu kabsa)
5. Unaaweza usimfurahie sana mkitoka wote out.
in short, kwenye maendeleo ni 90%, kwenye mapenzi ni 10%.
B. ana sifa zifuatazo.
1. Hayuko serious sana na Maisha. (sio mtafutaji kiviile)
2. Hajali sana, na katika mahusiano ni kaugonjwa kamoyo kama unamfuatilia.
3. Ni mzuri kuzidi A.
4. Kwenye mapenzi yuko juu sana. Anajua nini mwanaume anataka katika tasnia ya mapenzi.
5. Anavutia sana kutoka nae out coz ni mcheshi, na mtundu sana.
Inshort, kwenye maendeleo ni 30%, kwenye mapenzi ni 70%.
Mtu yuko njiapanda. Maendeleo katika familia au furaha katika maisha??
ushauri tafadhali.
Na hiyo ndio hofu pekee aliyonayo. Ila, anapenda sana kuwa na B na anahisi akitetereka kiuchumi, B atamtosa.