Mi hayo yote hayanihusu...mi wanakujaga wenyewe...nimesahau kwa mara ya mwisho nilitongoza lini....kazi yangu siku hizi ni kuangalia tu yupi poa kuwa naye na yupi nimkatae....siku hizi mnaohangaika kutongoza poleni
Duhh mkuu yule namba 2 .ni poaaa mazehe.hata cku ya kumgegenda anakuwa mtam huyo .wee acha mazeee.nakumbuka kipenzi changu mama yoyoo alinisumbua miaka 7 toka tupo secondary .duuh cku nilimkamataa cku ile cto isahauu.nikakuta mileage 0 Km .nifurai kupita kiasi nkamtupia na kachein mpaka leo anakoo teeeeeh .The big Up number 2.but i hate maharage ya mbeya .maji tone agrrrrrts