Kwa Wanaume Tu

Kwa Wanaume Tu

Joined
Mar 19, 2008
Posts
98
Reaction score
24
Embu niambieni bandugu mnapendelea mwanamke wa aina gani kati ya hawa unapotongoza?

1) Yule ambaye anakukatalia na kujibu kashfa na matusi huku akifoka unapomtongoza?
2) Msumbufu na umempata baada ya kumfuatilia kwa muda mrefu bila kukata tamaa?
3) Kigeugeu mara ndio au nimebadili mawazo au mpaka uje kwa wazazi?
4) Anakubali lakini No sex mpaka tuoane?
5) Maharage ya Mbeya Ukigusa tu yupo tayari kwa lolote iwe kufanywa kimada wa pembeni, kuchezewa au kuolewa.

Mimi binafsi napendelea sana No 2. Unajua mwanamke akinipa tabu sana siku ya kuja kumpata ntamthamini zaidi na ndio atakuwa mwepesi kwa mimi kutangaza ndoa kwake.
Wa aina hii ananipa matumaini ndani ya moyo kwamba anayejaribu kumchukua kwangu naye itabidi apitie tabu niliyopitia mimi.
 
mi ya kwanza! ni amini ng'ombe mkali ndo mwenye maziwa!
 
Napita tu.
 
Wadau mnamchukuliaje na yule anayejitongozesha au kuja kukwambia kuwa yeye anakupenda?
 
Nani kakwambia kuwa anayesumbua ndio mzuri
mimi napenda maharage ya mbeya napiga na kusepa haraka
saizi tunataka wanawake unamwambia na kukubali au kukataa na kila mtu kuendelea na mia zake
 
....ngoja kwanza...aaa.....eeee...au basi..
 
Namba 1 ndio yenyewe.. Wakiwa wakali then wakijaga kulainika mbona inanogaga sana.. Jua kuna kitu kizur mwanzo huwa wanakilinda kwa nguvu na ukali ila wakizidiwa,ni neema sana
 
Inategemeana unamalengo gani na yeye kwa yule wa kula na kusepa maharagi ya mbea kama unataka wa kudum nae kwanza aoneshe msimamo kwanza wa kukusumbua angalau mwezi mmoja hajatoa jibu kamili na kila siku unamfuatilia
 
Sioni bora mimi, maana anaweza kuwa mgumu na mkali kwako lakini kwa wenzio akaachia!
 
Back
Top Bottom