KUNGURUHAFUGIKI
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 346
- 74
- Thread starter
-
- #21
wao unawasoma na wenyewe wameshakustukia kuwa unahitaji mke ndo maana wanajirengesha sasa tatizo lipo wapi?
Wanawake wa mji huu..Wana uongo kuliko Dibaji kwenye Kamusi ya Ibilisi,wanajua kukuchota akili balaa,ilimradi uingie kwenye 18 uoe...Ukimtokea anajifanya kama vile we ndo Mwanaume wake wa Pili,wa kwanza wa shule ya msingi we ndo wa pili..Ukimuuliza Hobby zake utamsikia,''Uum,halafu analamba Lips,napenda kusoma Biblia...,Napenda kwaya ya Kijitonyama Uinjilisti,Napenda kufundisha watoto Sunday School,napenda nyimbo za Bahati Bukuku na kucheza na watoto,yaani I love sana Babies''
Basi ataji-position utajiona una bahati umekutana na wadogo zake bikira maria waliobakia Tanzania, utajua umeokota Embe dodo chini ya mti wa mpera..Mkitoka Outing anavaa mgauni mrefu kama Shemasi wa Parokia ya Sinza ukimuuliza unakunywa nn utamsikia,'naomba maji ya Dasani please'...Umetegwa Baba!Ni Kiruka njia mtakatifu,Mlevi mkubwa,yuko bize Usiku kama Kigofu cha Polisi kinasaka Wazururaji kuanzia Tegeta mpaka Black Tomato anajulikana,anavaa visketi vifupi kama Kibwaya ukiwa haupo..Ila kwako anakuektia mzee unatangaza ndoa,kasheshe ukifika nae ndani sasa ndo unakuta Gypsum hadi chooni,Sebule kama uwanja wa Taifa,hapo ndo utajua umeoa Dalali!
source ...seth
kila mtu ana mapungufu yake bwana loh! kujua tabia ya mtu pale anataka kitu flani toka kwako ni ngumu eti!Smile unaua.. Eti umeoa dalali..
Sebule kama uwanja wa taifa na kuna uwanja mkubwa tu unaweza jengewa chumba cha pili..
Kuchagua chagua sana utapata koroma,,, kama unavyosema kuna muda unajilipua tu,
Wanawake wa mji huu..Wana uongo kuliko Dibaji kwenye Kamusi ya Ibilisi,wanajua kukuchota akili balaa,ilimradi uingie kwenye 18 uoe...Ukimtokea anajifanya kama vile we ndo Mwanaume wake wa Pili,wa kwanza wa shule ya msingi we ndo wa pili..Ukimuuliza Hobby zake utamsikia,''Uum,halafu analamba Lips,napenda kusoma Biblia...,Napenda kwaya ya Kijitonyama Uinjilisti,Napenda kufundisha watoto Sunday School,napenda nyimbo za Bahati Bukuku na kucheza na watoto,yaani I love sana Babies''
Basi ataji-position utajiona una bahati umekutana na wadogo zake bikira maria waliobakia Tanzania, utajua umeokota Embe dodo chini ya mti wa mpera..Mkitoka Outing anavaa mgauni mrefu kama Shemasi wa Parokia ya Sinza ukimuuliza unakunywa nn utamsikia,'naomba maji ya Dasani please'...Umetegwa Baba!Ni Kiruka njia mtakatifu,Mlevi mkubwa,yuko bize Usiku kama Kigofu cha Polisi kinasaka Wazururaji kuanzia Tegeta mpaka Black Tomato anajulikana,anavaa visketi vifupi kama Kibwaya ukiwa haupo..Ila kwako anakuektia mzee unatangaza ndoa,kasheshe ukifika nae ndani sasa ndo unakuta Gypsum hadi chooni,Sebule kama uwanja wa Taifa,hapo ndo utajua umeoa Dalali!
source ...seth
kweli sis hapo red wengine huwa tunawashwa kuhamia saa hiyohiyo tena bila mahariNakubaliana na hili....
Wanawake wengi kwa sasa wana experiences zao walizowahi kupita... Hapa huangalii mwanamke ambae hajawahi kufanya hayo mambo; ukitaka hivo kama mwanaume ni lazima uchemke!
What matters ni kuwa umpate mwanamke ambaye tayari anatambua nini anataka, upate mwanamke ambaye siyo kwamba anaoana na wewe sababu ako desperate na kuwa sasa wewe ndiye umetokea kutaka kumuoa. Pamoja na maigizo yooote, kama mwanaume (hata mwanamke akitafuta mwenza) tabia basics za huyo mtu ndiyo zina matter...
Na tabia basics ndiyo msingi wa kujua huyo mtu walau mwaweza endana ama lah... Na hizo tabia hata ajitahidi namna ipi kama upo makini, utajua tu kwa maongezi yake, kwa vitu anavyopenda, mahala anaishi, marafiki walio mzunguka, vitu ambavyo anaagiza mahala popote awapo na wewe na the likes of that. La muhimu kuliko vyoote, haitakiwi mwanaume ambaye kweli ana niya ya kuoa aingie kwa maelezo ya kutaka kuoa... Hapo anakuwa ameharibu.
Nakubaliana na hili....

endelea kuwa kitenzi kichunguzi
Smile a.k.a bikra wa JF...mi sitaki unipe siku hiyo hiyo...nataka niitesekee...mi siku hiyo hiyo ukitaka nakupa.hutaki chapa lapa
Wanawake wa mji huu..Wana uongo kuliko Dibaji kwenye Kamusi ya Ibilisi,wanajua kukuchota akili balaa,ilimradi uingie kwenye 18 uoe...Ukimtokea anajifanya kama vile we ndo Mwanaume wake wa Pili,wa kwanza wa shule ya msingi we ndo wa pili..Ukimuuliza Hobby zake utamsikia,''Uum,halafu analamba Lips,napenda kusoma Biblia...,Napenda kwaya ya Kijitonyama Uinjilisti,Napenda kufundisha watoto Sunday School,napenda nyimbo za Bahati Bukuku na kucheza na watoto,yaani I love sana Babies''
Basi ataji-position utajiona una bahati umekutana na wadogo zake bikira maria waliobakia Tanzania, utajua umeokota Embe dodo chini ya mti wa mpera..Mkitoka Outing anavaa mgauni mrefu kama Shemasi wa Parokia ya Sinza ukimuuliza unakunywa nn utamsikia,'naomba maji ya Dasani please'...Umetegwa Baba!Ni Kiruka njia mtakatifu,Mlevi mkubwa,yuko bize Usiku kama Kigofu cha Polisi kinasaka Wazururaji kuanzia Tegeta mpaka Black Tomato anajulikana,anavaa visketi vifupi kama Kibwaya ukiwa haupo..Ila kwako anakuektia mzee unatangaza ndoa,kasheshe ukifika nae ndani sasa ndo unakuta Gypsum hadi chooni,Sebule kama uwanja wa Taifa,hapo ndo utajua umeoa Dalali!
source ...seth
Habari wakuu wote, nimejaribu kuwa karibu sana na wadada lengo ni kuwasoma tabia na kujua nani anaweza kuwa mke mwema baadaye lakini naona sipati mke sahihi kwani ninapojenga urafiki haipiti wiki wamekuwa wakijilengesha kwangu na mimi naitaji muda wa kutosha kuwasoma zaidi nifanye nini wakuu au nyinyi mnafanyeje ili kuwajua zaidi, kwa kweli napata wakati mgumu nishaurini wakuu .
Wanawake wa mji huu..Wana uongo kuliko Dibaji kwenye Kamusi ya Ibilisi,wanajua kukuchota akili balaa,ilimradi uingie kwenye 18 uoe...Ukimtokea anajifanya kama vile we ndo Mwanaume wake wa Pili,wa kwanza wa shule ya msingi we ndo wa pili..Ukimuuliza Hobby zake utamsikia,''Uum,halafu analamba Lips,napenda kusoma Biblia...,Napenda kwaya ya Kijitonyama Uinjilisti,Napenda kufundisha watoto Sunday School,napenda nyimbo za Bahati Bukuku na kucheza na watoto,yaani I love sana Babies''
Basi ataji-position utajiona una bahati umekutana na wadogo zake bikira maria waliobakia Tanzania, utajua umeokota Embe dodo chini ya mti wa mpera..Mkitoka Outing anavaa mgauni mrefu kama Shemasi wa Parokia ya Sinza ukimuuliza unakunywa nn utamsikia,'naomba maji ya Dasani please'...Umetegwa Baba!Ni Kiruka njia mtakatifu,Mlevi mkubwa,yuko bize Usiku kama Kigofu cha Polisi kinasaka Wazururaji kuanzia Tegeta mpaka Black Tomato anajulikana,anavaa visketi vifupi kama Kibwaya ukiwa haupo..Ila kwako anakuektia mzee unatangaza ndoa,kasheshe ukifika nae ndani sasa ndo unakuta Gypsum hadi chooni,Sebule kama uwanja wa Taifa,hapo ndo utajua umeoa Dalali!
source ...seth
Ndugu yangu siku hizi hakuna mwanamke anaye mpenda mume kwa mapenzi toka moyoni mwake zaidi ya kupenda mali. Ila omba Mungu utapata mke mwema.
Nimecheka jamani
Mbona una hasira nao hivi?
?
Kwa maelezo yako sidhani kama tatizo lipo kwa wanawake (kumbuka umetumia neno wanajilengesha), bali tatizo ni kwako mwenyewe.
Katika ulimwengu wa mahaba kuna kitu kinaitwa "Openers", ni yale manjonjo na ishara ambazo mwanaume huzitumia kama kianzilishi cha mahusiano.
Sasa nina wasiwasi aina ya ufungukaji unaoutumia ni ule ambao upo wazi mno kiasi cha kusomwa nia yako kwa hao wanawake ni ipi haswa. Kifupi unatumia ufungukaji waufanya "players", yaani wale ambao wanaonesha intentions zao mapema ili zisomeke na mgegedo uendelee.
Kitu kingine ni epuka kufanya sana flirting "hashuo", siku zote kumbuka sumaku hunasa vitu vyenye asili ya chuma, vivyo hivyo "The Art of Flirting" ni mahsusi kwa ajili ya kufungua milango ambayo ni migumu kufunguka ikiwemo kurahisisha matamanio ya kingono kwa watu ambao hamna mahusiano ya muda mrefu au urafiki wa kawaida.