KUNGURUHAFUGIKI
JF-Expert Member
- Jan 9, 2013
- 346
- 74
wee ni msafi kvile?
Na utapataje mke mwema wakati umezungukwa na vicheche.
Ni sawa na kutafuta urani kwenye greenstone belt.
Habari wakuu wote, nimejaribu kuwa karibu sana na wadada lengo ni kuwasoma tabia na kujua nani anaweza kuwa mke mwema baadaye lakini naona sipati mke sahihi kwani ninapojenga urafiki haipiti wiki wamekuwa wakijilengesha kwangu na mimi naitaji muda wa kutosha kuwasoma zaidi nifanye nini wakuu au nyinyi mnafanyeje ili kuwajua zaidi, kwa kweli napata wakati mgumu nishaurini wakuu .
simanishi mi msafi, unajua unapotaka kumjua mtu unatakiwa kutumia muda mrefu kujua tabia zake , lakini napata wakati mgumu nifanyeje ? Niepukane na vicheche?
Nia pekee ya kumfahamu mtu vizuri ni kuwa karibu yake zaidi...sasa sijui ni nini hapo unachokwepa!simanishi mi msafi, unajua unapotaka kumjua mtu unatakiwa kutumia muda mrefu kujua tabia zake , lakini napata wakati mgumu nifanyeje ? Niepukane na vicheche?
Hajakutana na totoz full mapozi kumbe wakati ni full balaa!!unachunguza chunguza nini. wewe fbi?
ukiomba unapewa ,kama ulikuwa hutaki unabeep nini?
halafu utakuja kudanganyika vibaya wewe,hujui tu wanawake!
It take a minute to love someone a day to know a person. Kidding after all l am not a man.
Ila on the serious note, get a wife from among your female friends. Shida mnatafuta miss universe, anapika like your mom, mwenye tabia za saint teressa, charming like snowhite, busara kama AshaDii, akili kama EMT, mshairi kama Rutashubanyuma etc in just one person.
Habari wakuu wote, nimejaribu kuwa karibu sana na wadada lengo ni kuwasoma tabia na kujua nani anaweza kuwa mke mwema baadaye lakini naona sipati mke sahihi kwani ninapojenga urafiki haipiti wiki wamekuwa wakijilengesha kwangu na mimi naitaji muda wa kutosha kuwasoma zaidi nifanye nini wakuu au nyinyi mnafanyeje ili kuwajua zaidi, kwa kweli napata wakati mgumu nishaurini wakuu .
Wanawake wa mji huu..Wana uongo kuliko Dibaji kwenye Kamusi ya Ibilisi,wanajua kukuchota akili balaa,ilimradi uingie kwenye 18 uoe...Ukimtokea anajifanya kama vile we ndo Mwanaume wake wa Pili,wa kwanza wa shule ya msingi we ndo wa pili..Ukimuuliza Hobby zake utamsikia,''Uum,halafu analamba Lips,napenda kusoma Biblia...,Napenda kwaya ya Kijitonyama Uinjilisti,Napenda kufundisha watoto Sunday School,napenda nyimbo za Bahati Bukuku na kucheza na watoto,yaani I love sana Babies''Kaunga Dearest... I am humbled.
Kwa mleta mada; KUNGURUHAFUGIKI, Naomba nikuambie kuwa pamoja na mabadiliko na kushuka kwa maadili ambayo yamefanya mabinti wengi wawe na tabia ambazo sizo kwa sifa ya kuwa mke (as it is to men) - Bado mabinti wanao stahili na wana sifa za utulivu... Mabinti ambao hata wakikupenda wana staha na hawezi thubutu kujitongozesha kwako.
Kama kweli unakua karibu na mabinti ambao si muda mrefu wanajilengesha hapo ina maana tatizo lipo kwako wewe na siyo kwa mabinti. HUWEZI ukaweka mazoea na binti ambae anaonekana wazi anapendelea kula maisha (tena mara nyingi huwa ndiyo wale warembo wadada wa mujini ingawa si wote) alafu ukategemea kuwa hatajilengesha na hali pengine wewe unaonekana wa kujikimu na una uwezo wa kumpa atakavyo.
Tuliza akili, jitazame na tazama aina ya wanawake wanakuvutia... Then utajua unakosea wapi. Ukituliza akili utashangaa kuona pengine mwanamke anaefaa kuwa mke wako wala hata hayupo mbali, ni wa karibu wako, wamfahamu ila wamchukulia easy pengine kwa kutokuwa na wasifu wa nje unaotaka wewe. Hata hivyo kila la kheri... Maana mke ndiyo hujenga nyumba na familia.
kuna hadi bikra za bandia ,sembuse tabiaHajakutana na totoz full mapozi kumbe wakati ni full balaa!!
mi siku hiyo hiyo ukitaka nakupa.hutaki chapa lapaNDo mademu wa siku hizi kaka...sijui ni desperation!??
Nawadediketia lisongi la FID Q - Usinikubali haraka..
liwaendee mashostito wote warembo Asnam, Kipipi, Smile, Evelyn Salt, charminglady BelindaJacob, et al...