Kwa wanaume tu....!

Money Maker

Senior Member
Jul 11, 2011
146
31
Wakuu kuna hii tabia ya wanaume kupenda kuchungulia/kuangalia hasa mwanamke anapokaa vibaya(uchi) na sehemu ya ndani ikaonekana, inaonyesha wengi huvutiwa kuangalia hadi wakati mwingine unaweza kuwaita na jamaa wengine waje kupiga chabo! tabia hii inachangiwa na nini zaidi? ni vipi mtu anaweza kuiacha? mie ni mwanachama wa club hiyo.
 
Ndo kilichokuleta humu (11 July 2011) kupost upupu? Hapa hakuna wa kuchungulia, uanachama wako hamishia kwingine hapa si mahali pake... IMEKULA KWAKO.
 
Hao wanawake wanakuwa wamekaa wapi hadi waangaliwe kwa zamu na watuna wasistuke?
 
Duh mkuu pole sana kwanza kwa ukali wa wanajamii waliotangulia hapo juu kukujibu, lakini nadhani wamekumiss-understand wewe hapa unauliza jinsi ya kuacha hiyo tabia na sio kuwaambia watu waendelee na hio tabia

Nadhani hii issue ipo kwenye akili zako maybe ili kufanya uache hiyo tabia kila wakati unapotaka kumchungulia mtu jaribu ku-imagine huyo ni dada yako au bibi yako am sure hiyo itaku-turn off...

Pili hii karne ya movies na internet kwanini uende kuchungulia watu, ukishindwa kujizuia nenda jukwaa la wakubwa nadhani unaweza kuchungulia vya kutosha bila risk ya kupigwa
 
Mleta hii mada inaonekana anamazoeya ya kuchungulia usiku madirishani
Atakuja kuacha hiyo tabia akiwekewa upupu
 
Mwaya kule kutamu ndo maana mwachungulia :biggrin1:

Maria Roza




icon1.png
Re: Kwa wanaume tu....!


Maria Roza, u r very handsome man...
 
Jiulize kwanza faida unayopata unapoangali utupu wa dada zako ni ipi!Ukipata jibu unaweza kupata njia za kuondoka kwenye tabia hiyo ya ajabu!
 
Mwaya kule kutamu ndo maana mwachungulia :biggrin1:

Kutamu???? sasa na wewe maria rosa hapa umeniangusha. Itabidi tukupunguze credits....hata hivyo mtoa thread amesema ni kwa wanaume tu..... wewe tukuweke wapi???ndege au mnyama( multi gender)??????
 
Hiyo ni tabia yako mwenyewe , wengine hatuna tabia hiyo. Kwanza hiyo sehemu siyo nzuri kutazama mpaka wakati muafaka
 
Itabidi ufuate kanuni ya Yesu ambaye alisema ukiona jicho lako litakukosesha kuuona ufalme wa mbinguni ni heri uling'oe na kulitupa kuliko kuukosa ufalme wa mbinguni. Angalia namna unavyoweza kuling'oa jicho liko ingawa inawezekana pia Yesu alikuwa akiongelea kiroho zaidi na siyo kimwili.
 
Back
Top Bottom