Kwa wanaume tu....!

Ndio maana ya kuitwa mwanamume! ni pamoja na kuthaminisha "mali" wewe unaita kuchungulia......la hasha huko ni kuthaminisha bana we vipi?
 
Maria Roza




icon1.png
Re: Kwa wanaume tu....!


Maria Roza, u r very handsome man...



Hahah haha asente duh dongo la nguvu :biggrin1:
 
Nadhani inatokana na pyschological prblm m2 anakuwa amehadhirika kisaikolojia so akiona mwanamke amekaa vibaya anavutiawa kuchabo,ni sawa na aliyezoea kufanya mastarbation akiona sabuni anaerect!so seek pyschological treatment..
 
Mwaya kule kutamu ndo maana mwachungulia :biggrin1:

na uzuri ni kwamba hata nyie dada zetu baadhi yenu huwa sometimes mnatukalia ovyo kwa kusudi,
ili mturushe roho sijui, ...............haya bana na ndo hapo jicho likiona halitaki kuachia......lol......

BTW: kwani nyie huwa hamtuchunguliagi wajameni?
 
Hakuna utamu wowote kwa kuangalia tu na wala kuacha kama bado unafikiria kilichopo pale itakuwa ngumu pia. Ukimuona aliyekaa hivyo kama anakupendezesha kwa mkao huo, endelea kula chabo maana hailipiwi na kama anakuudhi na kukusukuma kwenye dhambi, simama na mkemee walio karibu nawe watakuunga mkono.
SIMAMA JIPANGE SAWASAWA, MACHO YAKO MBELE SIMAMA KIUMEEEEEE, JIPANGE SAWASAWAAAAAAAAAAA!!!!!!
Watu wanavutiwa na pilau wewe unavutiwa na kuona mapaja tena siajabu yakawa kwenye Skin tight yamefichwa wewe jicho kodooo!! unatuabisha acha ukome kabisa na nakemea kwa jina la YESUUUUUUUU!!!!!
 
Hiyo ni tabia yako mwenyewe , wengine hatuna tabia hiyo. Kwanza hiyo sehemu siyo nzuri kutazama mpaka wakati muafaka

Toa ushauri unaofaa, mwenzio anaomba umpe wazo la kumsaidia kuacha hiyo tabia ambayo amekiri anayo ... sasa hapo ndo umetoa msaada gani ww?
 
Back
Top Bottom