Kwa wanaume tu

Kwa wanaume tu

Sasa najaribu kuvuta picha, nikitafakari na kujiuliza bila kupata majibu. Ilikuwaje hadi kufikia hapo? Maan sio kawaida!!?
 
Haaaaa haaaa alikuwa anapunga upepo au ni nini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hapo itakua kuna abiria wawili walikua wanasafiri kwenda safari ya mbali, lakini ghafla siti ikazidiwa uzito.

Hivi umesoma mwongozo vizuri "HUU UZI NI KWA WANAUME TU"
 
Itakuwa zilivutwa na gravitation force....ndo mana naipenda sayansi maana inaweka kila kitu wazi......
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nasi hatujajitaja jinsia zetu, usikipga mkwara lazima watu wajiulize kunani huko?
[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hapo itakua kuna abiria wawili walikua wanasafiri kwenda safari ya mbali, lakini ghafla siti ikazidiwa uzito.

Hivi umesoma mwongozo vizuri "HUU UZI NI KWA WANAUME TU"
 
Back
Top Bottom