miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,109
- Thread starter
-
- #61
Miss chagga kumfanya mapenzi ndio nini?? Kama unamaanisha kumega hiyo huwa wanafanya wale wanaoziotea papuchi. Wazee wa kugandamizia huwa hawana muda huo kwanza watawasema wangapi?
Huu uliofanya hapa pia ni ulimbukeni tu kama hao jamaa unaowasema.Nakumbuka nimeshatoka na wadada watatu tofauti wawili wameolowa na watu tunaofahamiana na mmoja ni girl friend wa rafiki lakini this is my secret to my grave.
Huyu demu mwanzoni alikuwa hajiamini lakini sasa hivi ana uhakika sijamueleza lolote mtu wake kuhusu our past.
Kwa kifupi hao ni malimbukeni tu wajinga flani.
asante shemeji .. ila huku kijiweni hadi wanatamani kuhama mtaaa
Huu uliofanya hapa pia ni ulimbukeni tu kama hao jamaa unaowasema.
mambo rafiki
kuna jambo huwa naona nakulisikia pia na wakati mwingine kunikuta hata mimi.. swala la wanaume kujisifia kumfanya mapenzi mwanamke....hivi najiuliza yafuatayo:
kwa sababu wengine hadi kulilia papuchi tatalilia lakini akishakufanya tu anaanza kujisifu.....huko kwenye akili zenu huwa mnatafsiri vipi hiyo kitu nashindwa kuelewa mimi....
- ni ufahari/ushindi?
- starehe?
- unafurahi kudhalilisha mwanamke ? au nini hasa
wanaume fungukeni tupate kuelewa..
Ni ushamba tu unawasumbuwa, kuna mdada ni mshkaji wangu tumekuwa wote ameolewa na Rafiki yangu ambaye ni brother wangu kama ningekuwa kasuku wa kumpa file la past za mke wake asingemuoa kamwe, kwahiyo niko hivyo kwenye maisha.
Naweza kukaa na mtu na mke wake nimeshamtafuna kabla yeye hajaowa na huwa sina tabia ya kuingilia ndoa za watu kumuomba tena mwanamke tupashe kiporo.
Hapo sielewi. Mapenzi hafanywi mtu bali ni two way pleasure labda kama umebaka ndo uweze kusema umemfanya. Ukiona mwanaume anasema amekufanya ni limbukeni hajuwi mapenzi
miss chagga hapo kila mtu atajitahidi kuficha makucha yake
lakn ktk hali ya kawaida ya mwanaume nafsi yake inaona fahari kufanya sex na mwanamke.
Japo tofauti inakuwepo,
.kuna ambaye atatangaza
.yupo atakayejisifia moyon kimya kimya.
Na hasa atajiona proudly pale atakapofanikiwa kumgegeda mwanamke mwenye msimamo ambaye hajihusishi sana na mahusiano.
Japo wengi watakataa lakn ukweli wanaume karibia wote wanaona fahari kugegeda ila wale wenye ufinyu wa fikra ndio wanafikia hatua ya kutangaza kabisa ila wenye vifua huishia kujisifia kimoyomoyo na wengne humsimulia rafki yake wa karibu
wanaume wa hivyo hata humu wapo
sawa shemeji
mambo rafiki
kuna jambo huwa naona nakulisikia pia na wakati mwingine kunikuta hata mimi.. swala la wanaume kujisifia kumfanya mapenzi mwanamke....hivi najiuliza yafuatayo:
kwa sababu wengine hadi kulilia papuchi tatalilia lakini akishakufanya tu anaanza kujisifu.....huko kwenye akili zenu huwa mnatafsiri vipi hiyo kitu nashindwa kuelewa mimi....
- ni ufahari/ushindi?
- starehe?
- unafurahi kudhalilisha mwanamke ? au nini hasa
wanaume fungukeni tupate kuelewa..
Na nyinyi wenye vibamia mnawafichia aibu au mnawasambaza kwa mademu wenzenu?
Maana kuna siku nusu nicheke nilikuwa na jamaa pub fulani hivi ina guest mshikaji akazama ndani na mcharuko wake kabla sijamaliza ile bia niliyokuwa nakunywa wao wakawa wameshamaliza yao wakatoka wakanikuta mezani, sasa mazingira kama haya wanaume wa aina hii huwa hamuwasambazi kweli?