Kwa wanaume tu, wanawake msome tu

yani hadi alivyomkunjua kunjua ... mmoja akasema eti hadi alimtoa kinyesi jamani kama unampasi mwenzio siiwe siri yako loh....

ha ha ha so your proud of using it?

kuna rafiki yangu tulipokuwa o level yaani asigegede atanisimulia mpaka nikawa namkwepa halafu na stop kwa story zake noma kweli
 
ni kweli ila sasa asilimia kubwa wnaume mnaongoza loh
 
Zamani ilikuwa fahari kutembea na wanawake wengi,kwa sasa na magonjwa haya
ukisimulia unawekwe kwenye list,kuimbiwa ''niagieni,niagieni..."
Naungana na wanaosema ni ushamba.
 
ni aina ya upumbavu na ujinga kwa wavulana hasa, ukiwa mwanaume huwezi ropoka hayo mambo kabisa....
 
Miss chagga kumfanya mapenzi ndio nini?? Kama unamaanisha kumega hiyo huwa wanafanya wale wanaoziotea papuchi. Wazee wa kugandamizia huwa hawana muda huo kwanza watawasema wangapi?
 



I don't think so,we do respect women as our friends and cant say such a silly words
 
Mkuu kwanza habari za siku.
Umesema kweli ni kutojiamini na kutojitambua naweza kusema hivyo, lakini tatizo hilo lipo sana hasa siku hizi na hapa JF wapo wengi tu wanapeana uzoefu kupitia PM......


Mkuu Mtambuzi salama kabisa aise
Umepotea sana mkuu
mambo ni vipi aise
Kabisa mkuu unachosema ni kutojiamini na kutokujijtammbua kuwa anachofanya ni kama ujinga fulani hivi
 
Last edited by a moderator:
miss chaga usitegemee majibu sahihi ya swali lako hapa kila mtu atajifanya yeye atangazagi kwa masela

nikuhakikishie ni vigumu kidume kumgonga demu alafu asiseme kabisa ni VIGUMU mno

nashukuru mkuu ila sasa huwa mnasema kwa ajili ya nini?
 
Nakumbuka nimeshatoka na wadada watatu tofauti wawili wameolowa na watu tunaofahamiana na mmoja ni girl friend wa rafiki lakini this is my secret to my grave.

Huyu demu mwanzoni alikuwa hajiamini lakini sasa hivi ana uhakika sijamueleza lolote mtu wake kuhusu our past.

Kwa kifupi hao ni malimbukeni tu wajinga flani.
 

asante shemeji .. ila huku kijiweni hadi wanatamani kuhama mtaaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…