miss chagga
JF-Expert Member
- Jun 7, 2013
- 57,805
- 49,109
- Thread starter
-
- #181
Miss Chagga unfortunately hata madada wengine wana tabia ya kujitangazia hivyo hivyo. Umeshawahi nini sababu ya wadada marafiki kuchukuliana mabwana? JIBU:Wanataka kutest yaliyomo yamo?!
uko wapi njoo tule misskaki yetu...
View attachment 194951
miss chagga , unataka kuniambia wanawake hamfanyi hivyo? Naapa kudate na Madada wa humu kesho utakuta bango lenye maudhui ya Faragha yenu, mmh sijui anyw way baada ya hii madada nanyi mtujibu MankaM Mamndenyi.
c wengine ha2jawai
Ulimbukeni huo na sifa za uongo mara la 1,2'3,4+--7 wewe ni mtu wa aina gani?wengi ni 1,lakini misifa tu
Sasa unajichanganya, ondoa neno hakika.
Nyinyi vijana kuna kitu kimoja mnakosea sana kwa kutokujuwa au kufanya makusudi.
Kwenye Tv station watu uhojiwa na kusema ukweli wa mambo na sura zao huwa zinafichwa ikibidi hata sauti zao hubadilishwa.
JF tunatumia ID fake na wengi wetu tumeficha kabisa our true colours, mada iko wazi kabisa na hii ni open forum niko huru kuchangia ninavyotaka mimi na siyo unavyotaka wewe.
Ningetaka kuishi hapa kama unavyotaka wewe ningetumia jina langu halisi na picha yangu halisi.
Kwa akili hizi ndio maana Lara 1 anawasumbuwa sana akili kwa kudhani ndivyo alivyo nje ya JF kumbe sivyo.
Nahitimisha mimi mambo yangu ni kimya kimya lazima uelewe tumetofautiana that's it.
mi nimesoma tu....byebyeeeeeeee!!!!!
asante ....!
ili upate papuchi ambayo sio ya kununua inahitaji kubembeleza ambapo inaaambatana na maringo,kama kidume kimesumbukia kupata papuchi kali mbele ya macho ya watu basi atajiskia furaha kutangaza kuwa amegegeda,ila kama kama hakuisumbuukia kuipata imejiweka yenyewe wala hutasikia kutangaziwa,na kwa tulio oa mke hatangazwi kwa sababu papuchi unayo kila siku
Miss Chaga hakuna mwanaume ataekubali hapa... as a men frm. My experience weng sana wanazungumza ila wengne wanakuwa kama stor tu "yule dem nshapiga hamna kitu". Kuna wengne n kujisifu tu.. na mwanaume yeyote akishakufunua jua kujiamini kunaongezeka kiasi flani kwako kwa sababu lengo kubwa la kumtongoza mwanamke ni kumfunua
Sawa mkuuu nitawaambia wazifunike wasifunue hata iweje labda wakupe hela nyingi
Aiseee kumbe siwez kutiwa nikaadithia hata siku moja kwanza naona aibu
Jirani wakati mtu anapojisifia kwa wengine kwamba kakula hauwezi jua ndiyo maana ya kuuliza wewe umejuaje kama hapa wapo, anyway ni kweli yapo hivyo basi kama lipo wenda ipo siku litakutokea haha!!mi haijawahi kunikuta kutangazwa achilia mbali kuliwa ila hayo matukio yapo
niondoe kwa nn?
Hiyo hakika wewe umeipata wapi?