Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 41,983
- 12,701
Hahahaah! Memba wa puchu kama kawaida lazima mtetee mchezo wenu.Mwanamke angekua mtam puchu ingekua ya hovyo!
Hahahaah! Memba wa puchu kama kawaida lazima mtetee mchezo wenu.Mwanamke angekua mtam puchu ingekua ya hovyo!
Itatoka kwenye mtjhani?
Naomba nikuonje ili nifanye comparison na huyu niliyenaye.
Akyanani nyuzi kama hizi
Zinaweza fanya mtu akaifungue injini ya gari yake
Aipaki gereji ili isikumike kabisa
Yaani mtu anachambuliwa kama 'binyobwa??'
Sasa hapa mtu kabakizwa nini???
Utumbo wote nje nje
Tiririka mama, hiyo nyuzi si kwa msaada wa Watu wa Marekani. kitu Live2 kurudi kujipanga upya au kuboresha ndo mpango mzima hahahahah mzima wewe Konie
Ha ha ha ha, mwenzangu mie hapa sina neno
Mie nimekongoroa na kuweka gereji
umegeneralize kuwa wote ni watamu??jibu swaliMwanamke mmoja huyo huyo, hubadilika utamu siku hadi siku( ama hupoteza utamu au huongezeka utamu) sembuse wanawake tofauti. Mimi najua ya mwanamke mmoja maana ndiye niliye na uzoefu naye. From her nime-generalize
mkimaliza hii, tutapeana maunjanja ya furahidai, tukisanue kama na nyie wanaume mnatofautiana mautamu. Liwalo na liwe leo 50-50. Haahaha lol
Hata wanaume pia wanatofautiana utamu kutokana na mtizamo wa wanawake...
mi mtamu balaa..mwanzo mwisho
mkimaliza hii, tutapeana maunjanja ya furahidai, tukisanue kama na nyie wanaume mnatofautiana mautamu. Liwalo na liwe leo 50-50.