Kwa wanaume tu: Kukumbushana

Mmmh what you see is what you get know that.
 
Mkuu umefikiria gharama za kuendesha hizo relationships?, nguvu na muda. Huu wako si ushauri mzuri hata kidogo. Mimi naona wanaume wote tunafaa na wanawake wote wanafaa ila tatizo linakuja kwenye uchaguzi. Ukichagua ambaye hamuendani kweli utalia kama punda.
 


Mwingine huyu mhanga wa kupigwa chini na Mwanamke sasa anajifariji, kubali tu na endelea na maisha!
 
tambua na magonjwa yapo,suluhisho siyo kuwa nao wengi ila ni kuchagua chaguo sahihi bila kufuata hisia zinataka nini kwa wakati huo unapojisikia kuwa na mahusiano na mwanamke
 
Duh huo ushauri hapana kwa dunia ya sasa. Cha msingi ni kutakuwa na mahaba niue mwanaume inabidi utumie MOYO na AKILI katika mapenzi
 
Sasa mbna chain iliyko ndo naikata..nibakize piece moja pekee, na cna mpango wa kuunga tena...!!!
 
Kwenye threads kama hizi unapata kuona jinsi wanaume fulani hawajiamini. Wamejaa woga. Wanatafuta njia za ajabu ajabu kupata confidence. Wa kudhraulika.
 
Mkuu wewe unao wangapi? Wanafika kumi?
 
usichanganye mke,demu, girlfrnd na mchumba.
hivi vitu havifanani
 
Niulize mimi gharama ya kumiliki wanawake wengi, i am not recommending this to any one, nakumbuka kuna kipindi nilikua nao actively 9 walitaka kuniua,nilijikuta naishi kwa madeni hadi nikataka kuchanganyikiwa ukiachilia mbali wa one and two night stands mshahara ulikua unaisha kabla hata haujatoka.

Najua for a man ni fahari kumiliki wanawake wengi, hii ni kawaida kwa male gender yoyote iwe ya kuku, mbuzi au simba ila ukiwa nao wengi wasizidi 3.

Kua nao 9 kma mimi hawa wa digitali, hutu anataka note 4, huyu anataka shoping mliman city,huyu anataka wkend umtoe mkaogelee kiwanja kikali,huyu kaka yake anaumwa,huyu anataka umpangie chumba ahame kwao, huyu anataka kile.

Wanawake wengi ni kujitakia umasikini ingawa sishauri kua na mmoja.
 
Hitimisho ulichomokaje au bado hujawapa uhuru makoloni yake au yana mamlaka ya ndani kama Palestine?
 
Hitimisho ulichomokaje au bado hujawapa uhuru makoloni yake au yana mamlaka ya ndani kama Palestine?
Wapo kama palestine, wana mamlaka ya ndani ila nikitaka kkuwaingilia kijeshi sina kipingamizi.
Usimuache mwanamke,mpe likizo au uhuru wa kufanya mambo yake,siku ukiishiwa kabisa unakumbushia unapewa mechi za kirafiki za hapa na pale.
 
Wapo kama palestine, wana mamlaka ya ndani ila nikitaka kkuwaingilia kijeshi sina kipingamizi.
Usimuache mwanamke,mpe likizo au uhuru wa kufanya mambo yake,siku ukiishiwa kabisa unakumbushia unapewa mechi za kirafiki za hapa na pale.
Inaonekana una nyota ya kupasha viporo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…