Kwa wanaume tu-Gap

stephot

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2012
Posts
18,118
Reaction score
28,021
Hii ni mahususi kwa wanaume watakaokuwa wanafahamu hii kitu,kuna wanaoita Thigh gap na majina mengine mengi ambayo kimaadili siwezi kuyaweka hapa na kama kuna atakae penda kujua kiundani ani pm ili nimueleze what it is.Swali ni kuwa hii kitu inakuwa mtu amezaliwa nayo au kuna mazoezi ambayo mtu nafanya ili kuwa nayo,na je katika 6x6 watu wenye hii kitu wakoje ukilinganisha na watu wasiokuwa na hii kitu?KARIBUNI.
 
Mm nilikimbia umande cjaelewa kiinglish hiko
 
Thigh gap=happy gap?

Sent from my WhiteBerry using JamiiForums
 
Ninavyoijua mimi ni wale kina dada ambao kwa asili wana open area kati ya paja na paja, hata akisimama akaweka mguu sawa nafasi inabaki ya kuweza pitisha hata kidole pale chini ya k.
 
si uandike kiswahili tu?

ndio yale mambo ya The ministres of inside things
 
Anaweza kuipata kwa kufanya mazoezi na anaweza kuzaliwa nayo.

Hawako tofauti na wanawake wengine kitandani,ni maumbile tu na hayana chochote cha kufanya kitandani.
 
Baadhi ya wanawake wanazaliwa nayo, na sometime waweza ukawaona njiani na ukawajua kama itakua amevaa nguo nyepesi na inayombana, ila pia wako wale wanaopiga mazoezi si unajua maisha siku hizi ni kuiga
 

Tyta uko too slow siku hizi...




A thigh gap in women is a space between the inner thighs when standing upright with knees touching.
 
anaweza kuipata kwa kufanya mazoezi na anaweza kuzaliwa nayo.

Hawako tofauti na wanawake wengine kitandani,ni maumbile tu na hayana chochote cha kufanya kitandani.

tofauti ni kwamba ule uvungu hupitidha hewa hawana harufu,tena ni rahisi kumkunja haswa a kiina ma inazama ote
 
Kuna picha za utupu kwenye mtandao zilizoanza kuenea jana na zinazodaiwa kuwa ni za Jill Scott zinaonyesha hiyo makitu pamoja na mengineyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…