Kwa wanaume na wavulana - Tell her that she is the one

Mambo si hayo bwana! Dedication kutoka nyumbani...........:]

Mie leo nimetoa dedication nyimbo za msondo na kidumbak

Ananiliwaza mawazo…

Mawazo ya kutwa nzima…
Na nikiwa na tatizo…
Hunionea huruma…

Ananipumbaza napuumbaziikaah..
Ananibembeza nabembeezeekaah…
Ananichekesha nacheekesheekaah…
Na kunituliza natuliiziikaah…

Aah raha najilia tu….
Ninajinenepea tu…

Kwa utulivu, kwa utulivu sisemi…
Hatoki, hatoki bila kunambia…
Haali, hali bila kula nami…
Hakimshuki, shuu shuu shuki hunambia….

Hapo karibia ndo pananoga na kinanda cha Jumanne Ulaya, mtoto wa Mwanza, aka vidole vya biashara!
 
Hapo karibia ndo pananoga na kinanda cha Jumanne Ulaya, mtoto wa Mwanza, aka vidole vya biashara!

Yaani vinanda vikikolea pale we acha tu! ........

Kumbe na wewe unapendaga ikifikia hapo eeh? Basi mimi hapo ndo huwaga naenda sayari ingine kabisa!
Nyie watu hapo juu mmenichekesha sana

The Finest sikujua kama na wewe uko huku! .......umenikosha sana
Gaijin si unajua yaani all weather
 
Kumbe na wewe unapendaga ikifikia hapo eeh? Basi mimi hapo ndo huwaga naenda sayari ingine kabisa!

Wewe sayari nyengine, wasabasi watajiju! .......lol

Mimi hizi nyimbo nazipenda siku nikiwa nnataka kufanya major cleaning .........naona kazi zinafanyika kirahisi sana. :]
 
Umegundua eeh. Yaani utakuta mtu toka amwambie mkewe anampenda wakati ana propose hajarudia tena. Ushaona mwanamke anakuja kazini uso umechanua; basi jua jamaa kamwambia she is the one.

Mwanamke anarogeka kirahisi saana; sweet words.

Nyumba Kubwa huyo aloambiwa wakati wa kua proposed mbona ana bahati... Urafiki wa siku hizi mnajikuta mmoja ana mimba alafu mwanamke unaanza kwa gear ya "mimi mimba sitoi" wala "nyumbani hawawezi nielewa" Jamaa anatafakari anaona "Ok. basi this weekend hamia kwangu kujitambulisha nitaenda mwisho wa mwezi.....lol
 
Nyie watu hapo juu mmenichekesha sana

Mazee...mimi taste yangu kwenye muziki ni eclectic. Kwenye rusha roho nipo...kwenye muziki wa dansi nipo...rock and roll nipo...country nipo..hip hop and r n' b nipo.

Siku nikiwa kwenye mood ya uanamapinduzi natwanga tunes za Bob Marley, Alpha Blondy, Lucky Dube etc. Ukinikuta gym nasukuma uzito basi natwanga DMX, Wacka Flocka, Ricky Rozay n.k. Ukinikuta najisomea basi naweka Mozart au Beethoven pale kati basi kila kitu kinakuwa mzuka!
 
Umegundua eeh. Yaani utakuta mtu toka amwambie mkewe anampenda wakati ana propose hajarudia tena. Ushaona mwanamke anakuja kazini uso umechanua; basi jua jamaa kamwambia she is the one.

Mwanamke anarogeka kirahisi saana; sweet words.

usije kutupa 'uchawi wa kukuroga' hapa by accident..lol
watu wanachukua notes....lol
 
Back
Top Bottom