Mkanganyiko kukanganya
JF-Expert Member
- Jun 26, 2022
- 1,691
- 6,695
Shika za kwako
Umesema mkishamaliza game, tena unaanza kubishabisha.Wakati mnapomaliza Mechi yaani Sex huwa hamtaki kuguswa hizo uume zenu au inakuaje
Sasa kinachonishangaza mkishamaliza pale labdaa mmepumzika bed ukisema umshike anakuwa anakutoa mkono
Duuh hiyo kali si nasikia wanaume wao kila saa wanatakaSihisia imeshaisha na pia hataki tena aipate hadi atake
HazishikikiShika za kwako
Ngoja nisomeUmesema mkishamaliza game, tena unaanza kubishabisha.
Soma hapa kwa faida yako:
Some Of Us Hate Being Touched After Sex. Why?
Sio wote wanataka kupoteza mbegu zao maana unapomshika tena atataka na bado hajakuwa na nguvu napumziDuuh hiyo kali si nasikia wanaume wao kila saa wanataka
NdioIchoke round moja tu 🥱🥱
Hamna ya kiswahili mkuu nimechoka kusoma EnglishUmesema mkishamaliza game, tena unaanza kubishabisha.
Soma hapa kwa faida yako:
Some Of Us Hate Being Touched After Sex. Why?
We SweetCandy tumeulizwa wanaume!Sio wote wanataka kupoteza mbegu zao maana unapomshika tena atataka na bado hajakuwa na nguvu napumzi
Mmmh wanaume nao wamegawanyikaSio wote wanataka kupoteza mbegu zao maana unapomshika tena atataka na bado hajakuwa na nguvu napumzi
Ana experience labda wake nae Kama wangu 🤣We SweetCandy tumeulizwa wanaume!
😀
Wewee michezo hiyoNdio
Ngoja nimuite we jiranii Mama NdegeNomadix ulifanikisha kwa binti sayuni kuja kukutembelea au ulimwagwa
Nijibu bhana kakaa au nije PM uniambie napendaga umbeya walahiWe SweetCandy tumeulizwa wanaume!
😀
HeeeJaribu kumshika kisigino🙂
Abee jiraniNgoja nimuite we jiranii Mama Ndege
Ndioo kuna wengine wanaenda kuoga chapu mnaanza kazi wengine hawataki ndio imetoka wengine hajapenda shoo wakwako ni unamshindaga nguvu so ndio mana hataki kufaMmmh wanaume nao wamegawanyika