Mwenye past papers au notes za lessen pharmaceutical assistant

Annah simbeye

Member
Sep 6, 2021
13
10
Hello wapendwa, mwenyewe past papers au notes za lessen pharmaceutical assistant naomba msaada, pia kwa anaejua mitihani huwa inafanyika mwezi wa pili tareh zipi anijuze, pia huwa ni mitihani mingapi na inafanyika kwa muda gan??
 
Hi Annah simbeye mbona umeuza namba yako kiurahisi hivyo rafiki...hizi social media zimejaa kila aina ya viumbe unaweza jikuta unashindwa stahimili presha za watumiaji wa hiyo namba kwako ukaichukia na namba yenyewe..kama msaada as long as umepost hapa wadau wanaweza kukusaidia hapa hapa au wakakufata in private ukatoa namba in private.
Kwa taarifa sahihi za hizo leseni wafamasia wasaidizi unaweza zipata kwenye hii
website.mis.pc.go.tz
 
Hello wapendwa, mwenyewe past papers au notes za lessen pharmaceutical assistant naomba msaada, pia kwa anaejua mitihani huwa inafanyika mwezi wa pili tareh zipi anijuze, pia huwa ni mitihani mingapi na inafanyika kwa muda gan??
Mitihani inafanyika mwezi wa Pili, tarehe itatangazwa muda si mrefu.

Mitihani huwa ni mitatu.

Kwa muongozo zaidi nitafute kwa muda wako
 
Back
Top Bottom