Sasa kiongozi mbona fani ya electrical and civil engineering mwaka huu sijaiona kwenye guidebook?? au ndo hazipo kwa mwaka huu?????Nan aliyesoma SAUT Mwanza? Ni chuo ambacho kinatoa competent graduates. Zao la pale kwa kweli huwa limeiva. Kwa vijana wanaotegemea kujiunga first year pale wawe na amani kabisaaa. Cha muhimu zaid inabidi wawe serious. Grading n tofaut na vyuo kadhaa vya serikali. Supp inaanzia 49. Karibuni Saut Main campus-Mwanza.
hahahaha acha kudanganya bhana kozi wanafanya oral examsWajiandae na oral exms pia
Hahahahha.. Nilisahau hii Mkuu French 2 ilikuwa mzikiWajiandae kukutana na kina Sijjo, Papaa Mlongo aka Kambale Katungo,Maina, Munga, hvi Fr Maziku yupo? Dah..... Mara kaluhawe, Munga, Kitima na wengneooo!!! Mkaribie sehem moja inaitwa kwa Masha, cjui bado inawika? Ama uzunguni.
Wajiandae kuconjugate le vebre!Hahahahha.. Nilisahau hii Mkuu French 2 ilikuwa mziki
Kwan n lazma kuisoma hiyo??Hahahahha.. Nilisahau hii Mkuu French 2 ilikuwa mziki
Ukikanyaga SAUT kwa course yyte n lazma hyo kifaransa uisome.Kwan n lazma kuisoma hiyo??
Saut hakuna option, kama course yako inamasomo 14 unasoma yote. Na French 1 na 2 ni lazima kwa kila mwaka wa pili.Kwan n lazma kuisoma hiyo??