Kurzweil
JF-Expert Member
- May 25, 2011
- 6,622
- 8,427
Jamaa kaingia bar:
JAMAA:Mhudumu nipe
kinywaji na mpe kila mtu
humu ndani, maana
wakati napata kinywaji
lazima kila mtu apate
kinywaji. Haraka sana
mhudumu akagawa
vinywaji
JAMAA:Mhudumu nipe
supu na kila m2 mpe
supu mana
ninapokunywa supu kila
m2 lazima anywe
supu.Watu wakapewa
supu tena safari hii
wakapiga makofi
JAMAA:Mhudumu nipe
bili,na kila mtu mpe bili
yake mana wakati nalipa
bili yangu kila mtu lazima
alipe yake.Zogo lilianzia
hapo haaaaaa haäaaa!
JAMAA:Mhudumu nipe
kinywaji na mpe kila mtu
humu ndani, maana
wakati napata kinywaji
lazima kila mtu apate
kinywaji. Haraka sana
mhudumu akagawa
vinywaji
JAMAA:Mhudumu nipe
supu na kila m2 mpe
supu mana
ninapokunywa supu kila
m2 lazima anywe
supu.Watu wakapewa
supu tena safari hii
wakapiga makofi
JAMAA:Mhudumu nipe
bili,na kila mtu mpe bili
yake mana wakati nalipa
bili yangu kila mtu lazima
alipe yake.Zogo lilianzia
hapo haaaaaa haäaaa!