Kwa wanaopenda kuweka password katika simu zao

Kwa wanaopenda kuweka password katika simu zao

Hakuna ajuaye siku wala saa ya kufa. Hata km hujaweka password unaweza kukuta simu uliisha pasuka vipande vipande. Miti yote hutereza siku ya kufa nyani
 
C utafute Id ukishapata utajua jina lake ukatoe tangazo kwenye vyombo husika maana utakuwa umechukua hela yote kwenye wallet yake
 
Habari wanajamvi, Leo nimekaa nikawa natafakari kwa watu wanaopenda kuweka password katika simu zao, Je! Faida yake ni nini na hasara yake nini, Je! Kuna ulazima wa kufanya hivyo?...mimi naanza na hasara, kwa mfano: umedondoka ghafla au umepata ajali hujitambui, wasamaria wanajitolea kukusaidia lkn katika harakati za kukusaidia wanachukua simu yako ili kujulisha ndugu na jamaa kwa yalio kukuta wanakuta simu imepigwa lock na wewe ndio hujitambui, karibuni tujadili.

me nazifunguaga kirahisi sana
 
Kwangu kuanzia kalenda ina password, sehemu ya tochi ina password, radio ina password ,nk vyote vina password. Kasoro phonebook ndio hakuna password
 
Ndio maana mimi nimeweka Fingerprint verification kama password. Problem solved watatumia vidole vyangu.
 
Password ni muhimu. Kama unataka watu wakusaidie ukipata ajali, watasoma contact ya mtu utakayekuwa umemwandika kwenye notebook/diary yako.
 
Mii nina SIMU lkn phonebook haina jina hata 1!
Na kila siku nafuta namba zilizoingia ama nilizopiga! Wasamaria Wema naomba mnikimbize Hosp then mtafuteni Ruge mumpe taarifa!

Ok..tutafanya hivyo
 
Mkuu umefikria pafupi sana! Yaani Wewe unaona ukiwa umeweka password ndo watu watashindwa kuwapigia jamaa zako kama umezimia? Wala hujashughulisha akili yako kuona njia mbadala zilizopo? Huwezi kufikria habari ya kuhamishia SIM Card kwenye simu nyingine? Huna hoja kuhusu password!!

oneni hili zunyazunya jamani
 
Password ni muhimu. Kama unataka watu wakusaidie ukipata ajali, watasoma contact ya mtu utakayekuwa umemwandika kwenye notebook/diary yako.

laiti kama na wake zenu mngekua mnawafunga kwa password akina sie tungeishi vipi?
 
Password muhimu mnooo....kwa usalama wako na vitu ulivyotunza katika simu,mimi ninampenzi na simu zetu wote zinapassword moja kila mmoja yukofree kuingia kwa simu ya mwenzie

Hongereni!,sasa hizo password mumemuwekea nani km zinafanana?.
 
Mkuu umefikria pafupi sana! Yaani Wewe unaona ukiwa umeweka password ndo watu watashindwa kuwapigia jamaa zako kama umezimia? Wala hujashughulisha akili yako kuona njia mbadala zilizopo? Huwezi kufikria habari ya kuhamishia SIM Card kwenye simu nyingine? Huna hoja kuhusu password!!

Mimi nadhani mtoa mada ametoa km mfano tu kuhusu kuzimia,lkn yapo mengi yanayoweza kukufika,na hiyo njia unayosema ni ya mtu anayefikiri kisawasawa,sasa je wewe unajuaje km siku ukipatwa na mkasa atakaye kuja kukusaidia ni muelewa kiasi gani kihusu simu?,nakwambia ni heri kuweka namna rahisi ambayo mtu yeyote aweza kukusaidia.
 
Habari wanajamvi, Leo nimekaa nikawa natafakari kwa watu wanaopenda kuweka password katika simu zao, Je! Faida yake ni nini na hasara yake nini, Je! Kuna ulazima wa kufanya hivyo?...mimi naanza na hasara, kwa mfano: umedondoka ghafla au umepata ajali hujitambui, wasamaria wanajitolea kukusaidia lkn katika harakati za kukusaidia wanachukua simu yako ili kujulisha ndugu na jamaa kwa yalio kukuta wanakuta simu imepigwa lock na wewe ndio hujitambui, karibuni tujadili.

simu zina emergency call so itatumika hiyo
 
Nimeweka password na watu wote ninaishi nao wanaijua. Hii ni kwa usalama wa wezi tu, akiiba basi hana ujanja wa kuifungua zaid ya kuitupa tu![/QUOE]

Aitupe wapi!!...hujui kuflash ni elf 15 tu cm inakua poa?..hakuna mwiz anaetupa cm yeny pswrd siku izi.....Yaan kwa issue ya wizi password hazina maana kabisa sku izi
 
Mimi kila app ina password, hadi contacts zina password.

Kwa tulioko vyuoni, unaweza kuta uko discussion mtu anakuja anachukua simu anaanza kusoma conva zako za whatsapp, text za kawaida, Mara aiende gallery aperuzi picha weweee....( wakati mwngine u have yo secret things ambazo mtu hatakiwi kuziona)

Kuwakomoa watu wa namna Hiyo nimetia pattern kwenye kila app, na ukijaribu kufungua inakupiga picha, nakuja kuikuta nikifungua.

password n muhimu
 
Huyo atakae chukua simu na kufanya hivyo nadhani atakuwa yesu wa pili

Siku hizi wamebadilika...unakumbuka walivyofanya kwa Sharobaro yani wanachukuwa simu yako na kumpigia mtu kisha ndiyo wanazima na kuondoka nayo.
 
Habari wanajamvi, Leo nimekaa nikawa natafakari kwa watu wanaopenda kuweka password katika simu zao, Je! Faida yake ni nini na hasara yake nini, Je! Kuna ulazima wa kufanya hivyo?...mimi naanza na hasara, kwa mfano: umedondoka ghafla au umepata ajali hujitambui, wasamaria wanajitolea kukusaidia lkn katika harakati za kukusaidia wanachukua simu yako ili kujulisha ndugu na jamaa kwa yalio kukuta wanakuta simu imepigwa lock na wewe ndio hujitambui, karibuni tujadili.

watatoa lain waweke ktk cm zao kama nia ni msaada maana kuna jamaa yangu alipata ajari ya pikipik bas aliungua kiunoni had miguuni na simu iliungua nusu bas raia wakachomoa lain wakaweka
 
Weka password ila muhimu mpenzi au mmoja katika familia yako aijue.
Tembea na wallet huku ukiwa umeweka picha na emergency numbers ikitokea tatizo
 
Back
Top Bottom