The Orginals
Member
- May 4, 2015
- 88
- 21
mambo hayo ya kuanguka sijui kupoteza fahamu yanaweza kukutokea ukiwa hata nyumbani au ukiwa huna simu its all the same ila password inasaidia vitu vingine ku remain privacy siku hizi ukianguka watu hukimbilia kwa malengo tofauti ila mara nyingi mtu akikuta simu au kitu cha thamani mfukoni kwako ubinadamu unaisha labda uwe na simu ya torch!!!