Kufungiwa kwa taasisi ya wakala vyuo vikuu nje ya nchi TASSAA kudahili wanafunzi nje ya nchi..

Mchinox

JF-Expert Member
Jan 20, 2023
232
249
Kutokana na kuzuiwa kufanya shughuli zake za kudahili wanafunzi kwenda kusoma course mbalimbali nje ya nchi,tutegemee ongezeko la vijana wengi mtaani kukosa vyuo na kendelea na elimu
 
Sababu za kufungiwa ni zipi maana nilikua nawaona kule Twitter sana.

Au wamefungiwa kuna mwanasiasa anakuja na kampuni yake asipate ushindani?
 
Back
Top Bottom