Kwa wanaofurahia boom TU!!

Asante sana mkuu...ila mimi sina shaka na hilo kwa sababu nilijifungulia M pesa baada ya kumaliza tu form six..hivyo kiasi chake salio linasoma by the time nikiwa chuo nitaajiri mtu....Mwanaume kukomaa tu.

safi sana! Tuko pamoja kwenye m pesa ila me sija ajiri nipo mwenyewe, na clas kama kawa!
 
me tshafungua chuo na nimetoka sokon kununua v2 vya kupika hata wasipotoa b um ntashba t
 
vijana mnachakesha sana tena sana mnapanga budget hata usajili hamjafanya na mjajua je paylaw ya bodi jina lako lipo ama vipi kingine nyie kasomeni tu pesa ya bodi nunueni itumieni kama inayosema sijui dogo atasoma mala nini utakonda kwa mawazo pesa ndogo sana hiyo
 
Kijana shukuru mungu kupata hata hiyo 0% kuna wengine wameambulia NIL kabisa mtafute SAMRICH1 atakusaidia ushauri

to be honest namshukuru mungu kwa kdogo nilchopata but i thnk i deserve more sababu vgezo vyote ninavyo na cjui wametumia vgezo vp kunipa cfuri xo am not satisfied i have 2 appeal
 
Last edited by a moderator:
to be honest namshukuru mungu kwa kdogo nilchopata but i thnk i deserve more sababu vgezo vyote ninavyo na cjui wametumia vgezo vp kunipa cfuri xo am not satisfied i have 2 appeal

yap nakuunga mkono just appeal but kua radhi kupokea matokeo ya appeal
 
Hapo umenena mkuu, kwa wenyeji wa UDSM wanajua kasi ya first year katika matumizi ya pesa ila itakapofika mda pesa imekata utaona foleni ya kula RB( Rice and Beans) inaongezeka na kasi ya kunywa soda inapungua, kwa wanaoishi mabibo hostel wakati wote utaona makundi makubwa ya watu wakitembea kwa miguu (shato pori) na library wasomaji wanaongezeka maradufu hadi seat zinakosekana. Chonde chonde ndugu zangu wa first year wa UDSM be careful km hauna chanzo kingne cha mapato jitahidi kupunguza matumizi yako maana ukiishiwa hata taaluma yako itaathirika.
 
NImefurahi kusikia Hoja za vijana wa kisasa, WE DOGO, kwa taarifa yako kuna kipindi inafika hata pasi ndogo haiwezekani, kuna vijana pale ng'ong'ona kwa wale wa UDOM huwa wanaishiwa mpaka sahani ya ubwabwa ya book mia tano wanashea wawili, wengine inafika kipindi waombe. Unakuta kijana hana hata mia. Unafanya mchezo eee!
 
Back
Top Bottom