Kwa wanaofurahia boom TU!!

ukiwa chuo hiyo pesa ni ndogo sana kama hauna source nyingine! Mbaya zaidi kuna wakati haiji timely! Ndo maana mnaona watu wanaandamana kila wakati! So be wise katka matumizi na ku find more sources!

Asante sana mkuu...ila mimi sina shaka na hilo kwa sababu nilijifungulia M pesa baada ya kumaliza tu form six..hivyo kiasi chake salio linasoma by the time nikiwa chuo nitaajiri mtu....Mwanaume kukomaa tu.
 
Aisee mimi kwangu chakwanza msosi bhana lazima nile nishibe, bhana
pombe situmii,Madem ndo kabisaa,sina mdogoangu anae nitegemea mini ndo wa mwisho,sivuti sigara wala bange, napenda Technology na Kula tu basi
 
Mkuu Pombe na mademu ni source kubwa inayopoteza pesa...lets pray to God that he could rescue us in such trap!
 
MIPANGO ITAKUA HIVI....
mpaka namaliza chuo ntahakikisha haya...
-dogo anaenda shule
-ntajitahidi hata kiwanja nipate
-ntabuni miradi,au ka sio kubini ntaandaa mazingira ya miradi hasa baadae
-ntahakikisha najitosheleza kielimu
-matumizi yasiyo ya lazima(starehe) ntajitahidi kuweka kando!!!
IFAHAMIKE KWAMBA MASELA KIBAO WAMEKOSA BOOM..KAMA TUMEPATA TUTUMIE VIZURI TUSIJE JUTA...hayo ni mawazo tu wakuuu......

hizi ni doto mkuu wewe subiri utajionea hali halisi
 
Mkuu kama uko expirienced na haya masuala si vibaya ukitujuza sie ma-seniour tunaoenda kuanza college life...masuala mazima ya kutumia boom kimaendeleo zaidi.

Be real, usiishi maisha ya kuiga mtu, hapo pesa itakutosha sana
 
Aisee mimi kwangu chakwanza msosi bhana lazima nile nishibe, bhana
pombe situmii,Madem ndo kabisaa,sina mdogoangu anae nitegemea mini ndo wa mwisho,sivuti sigara wala bange, napenda Technology na Kula tu basi
we ningaR Ha ha ha ha kula tu na Technology kweli utampata mkubwa mwenzako mbele ya safari!ivi akija kama kukuomba hela kama ndugu na jamaa yako huyo mdada utamnyima?
 
Poleni sana vjana. Me nilikosa mkopo last year kutokana na budget. Npo sua. Cha kushangaza ambao wanalo hua wanakuja niwakopeshe. So ndo mjiulize,but inshort,hela ya bodi inaitwa ya "majini" mana inavyoisha utashangaa mwnywe huku ukiwa hujafanya jambo la maendeleo!
 
Aisee mimi kwangu chakwanza msosi bhana lazima nile nishibe, bhana
pombe situmii,Madem ndo kabisaa,sina mdogoangu anae nitegemea mini ndo wa mwisho,sivuti sigara wala bange, napenda Technology na Kula tu basi

good boy.
 
oya mkuu Manyanza hayo ni mawazo yako,kumbuka mawazo yangu na yako ni tofauti kabisa.....ulichoshindwa wewe usiseme mwenzako atashindwa!!!! FIKIRIA...
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom