Habari wadau wa JF!
Mie na mke wangu tunalala kitanda kimoja na mtoto wetu mwenye umri wa mwaka mmoja na miezi 8.Tumekuwa tukifikiria kumtafutia kitanda chake ili tuutumie uwanja wetu (kitanda) kwa uhuru zaidi.
Ila hatuna uhakika kama umri aliofikia ni muafaka kwa yeye kuhamia kwenye kitanda chake mwenyewe au la.
Hofu yetu ni kwamba, asije akawa ameshaanza kutupiga chabo tukiwa tunachuma matunda yetu.
​Naomba ushauri kwa wenzangu wenye watoto wa umri huu au wenye uzoefu kwenye suala hili.
Natanguliza shukrani