Kwa wanandoa tu.

Kwa wanandoa tu.

Huyo aunt alikuambia ukiolewa na mtoto wa mwisho kutatokea nini?Nauliza kwa kuwa jirani yangu ni last born kwao na anaishi vizuri na mkewe.
he heeee, huyo mke basi ni mdekezaji mzuri....
watoto wa mwisho always wanajiona watoto..... kudeka kwa kwenda mbele. sasa ukiona kamanda kama mimi mbona kazi anayo, lol!
 
siyo wazungu tu Gefu....
mimi mbongo hata nje ya TZ sijatoka na sijawahi lala na mtoto kwa kitanda changu
..nakubaliana na wewe, hii inamjengea kujiamini mtoto..
 
Hili ndo jibu la swali la mtoa maada na ndo hii kitu imefanya tofauti kubwa ya kitabia na kujiamini kati ya matoto yetu ya kibongo na matoto ya kizungu.

Kwani wewe ni Mzungu? na kama siyo kwanini ujifananishe nao huna tofauti na viongozi wetu wanaogawa resources zetu kwa wazungu kwa kuwashobokea tu kama wewe.Mtoto anahitaji malezi ya mama kwa ukaribu na sharti umnyonyeshe na ulale nae kwa muda wa kutosha.
 
huyo bado wajameni,,,,ni kuhakikisha kalala vema usingizi mnono,,,, ila msifanye fujo kumdistub,,, coz watoto huwa na hisia ambazo zinalink na mamake,,, ukimfuatilia,,, angalia siku mkila haya unayoita matunda utaona na kenyewe kanajing'ang'amua usingizini,,,,ni link wanayo, but hawezi ng'amua..kwani mamake lazima ashughulikiwe ili kumpata mdogo wake....
 
laleni uvunguni mmuache mtoto kitandani

Nimecheka sana! Uvunguni tena??? Ushauri mwingine ni vichekesho.

Endelea kulala naye na si kwamba ni lazima kila mkilala mcheze ako ka mchezo. Wanandoa sometimes huwa tendo hilo linafanyika kimwa kimya labda kama shem ana abia ya kupiga kelele sana wakati wa majamboz.
 
Mimi na wife kila mtu ana kitanda chake, chumba kimoja,atayemhitaji mwenzake anamfuata kitandani kwake.Watoto wana chumba chao(Mmoja ana 3yrs na mwingine 1yr)

Hii inapendeza sana, maana unaweza ukalala nae usipewe haki ya ndoa! Bora kila mtu alale kivyake ukiona mwenzia kakufuata unajua anataka vitu!
 
huwa nampunguzia idadi ya kunyonya usiku kadiri anavyokua.
anapokuwa mchanga ananyonya mara kwa mara maana naamini anachoka kuvuta mapema, ndo maana nalala naye chumbani kwangu.
anapokua huwa maximum kumnyonyesha usiku ni mara 3, na ndo maana nakaa ananyonya mpaka achoke na kuacha mwenyewe, then akilala nina uhakika anaweza lala zaidi ya masaa 3.
kuna siku naweza amka mara moja tu.
nb. huwa simwamshi mtoto kunyonya, namnyonyesha akiwa ameamka. mara nyingi watoto wanaamshwa na kulowa mkojo au njaa. kama kulowa tu nikimbadilisha huwa analala tena, na mimi narudi kulala
FP big up kwa kutufunza kitu..ni mada ya wanandoa ila inawalenga hata wanaojiandaa kuingi huko..
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom