- Thread starter
- #21
Naishi Tanzania.hata mie nilianza kuwaza monitor za mishumaa.mara ya mwisho umefika lini bongo?
au mleta mada anaishi USA au nchi nyingine zilizoendelea?
hizo monitor zinatumia mishumaa au taa za chemli?
Naishi Tanzania.hata mie nilianza kuwaza monitor za mishumaa.mara ya mwisho umefika lini bongo?
au mleta mada anaishi USA au nchi nyingine zilizoendelea?
hizo monitor zinatumia mishumaa au taa za chemli?
Hii nimeipenda!wapi hapa?Kibira?Wake up!
Uko wapi?
![]()
Yeah, kind of,Hii nimeipenda!wapi hapa?Kibira?
tuvumilie kidogo, wachina watazileta soonNaishi Tanzania.hata mie nilianza kuwaza monitor za mishumaa.
Mimi wanangu huwa nawalaza kwa kitanda chao siku ya kwanza tunaporudi toka hospt.
hii siyo kwa sababu ya kutawala kitanda, ila kwa sababu ya kumlinda mtoto pia. Nimeshawahi kusoma watoto wachanga wanalaliwa na wazazi wao, basi inanipa wasiwasi sana kulala na mtoto kitandani.
Mwaka 1+ unaweza kumweka chumbani kwake.... hawa watoto mimi nawaogopa sana.
kuna siku mtoto wa uncle wangu alikuwa na miaka 2+ alikuja kunilalamikia kuwa baba anampiga sana mama usiku akiwa amelala, na hapo mtoto alikuwa analala kitanda chake lakini chumba kimoja na wazazi. Nilimwamisha chumba siku hiyo bila kumwambia mamake sababu, nikaomba nilale naye mimi. Nilipoondoka nikamwambia aunt mtoto aendelee kulala chumba cha wadada, ikawa hivyo
Aisee mimi nakumbuka mama alikuwa ananitoroka kitandani usiku na kwenda kitanda cha baba. Sijui nilikuwa na umri gani by that time; lakini as you say nafikiri ni vyema mtoto alale pekee from day one, hata infection ndogo ndogo unaweza zuia kwa separation hiyo licha ya kuzuia ajali na kumfanya ajitegemee.
tunashauriwa tunaponyonyesha watoto tuwe tumeamka na tumekaa....mimi naona mtoto angalau awe amefika miaka miwili na nusu ndio afundishwe kulala peke yake, mtoto wangu ana mwaka 1 na miezi 7 lakini nalala naye coz bado ananyonya, sasa ninyi mnaosema akifika miezi 6 alale peke yake na kunyonya inakuwaje! tusiwanyime watoto haki yao jamani, anaweza akalala peke yake usiku akawa na homa usijue hadi una amka asubuhi mtoto kazidiwa, lakini ukilala naye akiwa na homa tu unajua coz anakugusa au wewe mwenyewe unamgusa.
Aidha, akilala peke yake usiku kunaweza kukawa na baridi mzazi unatakiwa kumfunika mtoto, au joto kali unamvua nguo au amejisaidia unambadilisha, sasa akilala usiku kucha peke yake jamani, si utakuta choo kimegandiana mwilini mwake, kwa kweli mimi sishauri mtoto kulala peke yake ktk umri huo, subiri angalau miaka 2 na nusu si haba hata kuongea kidogo anakuwa anaweza na akihitaji kitu atakuita, hiyo ya kutolala na mtoto as from day 1 sio utamaduni wetu watanzania, acheni kuiga tamaduni zisizo wezekana katika uhalisia!
ha haaa, wewe ndo wale uliokuwa unang'ang'ania kulala na mama mpaka uzeeni? lol!Aisee mimi nakumbuka mama alikuwa ananitoroka kitandani usiku na kwenda kitanda cha baba. Sijui nilikuwa na umri gani by that time; lakini as you say nafikiri ni vyema mtoto alale pekee from day one, hata infection ndogo ndogo unaweza zuia kwa separation hiyo licha ya kuzuia ajali na kumfanya ajitegemee.
tunashauriwa tunaponyonyesha watoto tuwe tumeamka na tumekaa....
mimi wanangu wanalala kwa kitanda chao toka day 1 na haimaanishi sinyonyeshi. na ukiwa na mtoto mchanga unasikia kila movement ya mtoto hata kama hujalala naye kitanda kimoja.
Muda wa kunyonyesha naamka, nachukua mwanangu, nakaa naye, naanza kumnyonyesha. Kunyonyesha siyo lazima ulale naye kitanda kimoja.
kwanza akitimiza mwaka huwa anahama chumba, muda wa kunyonya ukifika namfwata huko huko chumbani kwake. na mimi huwa nanyonyesha miaka 3, sasa nilale na mtoto kitandani kwangu hadi miaka 3?
nimeipenda hapo redmh hiyo nayo ni shughuli nyingine jamani, kweli binafsi siiwezi, nalala na mwanangu hadi aache kunyonya, that is me!
ni msisitizo, hiyo inaeleweka best, ila kwangu naona ni kazi kubwa kuamka uende kunyonyesha, uje ulale, hivi utaamka mara ngapi dear!nimeipenda hapo red
ila ujue hata sisi tunaolaza watoto peke yao tunanyonyesha pia.
huwa nampunguzia idadi ya kunyonya usiku kadiri anavyokua.ni msisitizo, hiyo inaeleweka best, ila kwangu naona ni kazi kubwa kuamka uende kunyonyesha, uje ulale, hivi utaamka mara ngapi dear!
Aisee mimi nakumbuka mama alikuwa ananitoroka kitandani usiku na kwenda kitanda cha baba. Sijui nilikuwa na umri gani by that time; lakini as you say nafikiri ni vyema mtoto alale pekee from day one, hata infection ndogo ndogo unaweza zuia kwa separation hiyo licha ya kuzuia ajali na kumfanya ajitegemee.
haya bwanahuwa nampunguzia idadi ya kunyonya usiku kadiri anavyokua.
anapokuwa mchanga ananyonya mara kwa mara maana naamini anachoka kuvuta mapema, ndo maana nalala naye chumbani kwangu.
anapokua huwa maximum kumnyonyesha usiku ni mara 3, na ndo maana nakaa ananyonya mpaka achoke na kuacha mwenyewe, then akilala nina uhakika anaweza lala zaidi ya masaa 3.
kuna siku naweza amka mara moja tu.
nb. huwa simwamshi mtoto kunyonya, namnyonyesha akiwa ameamka. mara nyingi watoto wanaamshwa na kulowa mkojo au njaa. kama kulowa tu nikimbadilisha huwa analala tena, na mimi narudi kulala