Mshindo
JF-Expert Member
- Mar 5, 2009
- 478
- 186
Day one akakaae Kwenye chumba chake inamfundisha kuwa independent weka baby monitor au camera with emotion detector .Inakuwa ngumu kwa sababu always wanakuja chumbani .kwani Hana chumba chake?mtoto akizaliwa lazima awe na chumba chake .kama wa kike tengeneza nursery room nzuri pink pink dolls and turn the room into Disney world atan'gang'ania chumba chake weka pink carpet ,nice comforter she will love .
Since day one mtoto analala mwenyewe .Unaweka monitors ( sound and emotion detectors ) .Inajenga kujiamini kwa mtoto .Hujawahi ona mtu mzima Anaogopa kukaa mwenyewe .Mtu anakaa na roommates Hajiamini .USA 2 weeks mtoto anaenda Day care .
Hapo kwa red inakuaje hiyo EMOTION detector? Kwamba baby akikasirika, akiogopa au akifurahi nyie mnapata signal huko kwa chumba kuu? Dah wapi hiyo US Natalia ?
Last edited by a moderator: