kwa wanandoa tu!

kwa wanandoa tu!

jamiif

JF-Expert Member
Joined
Apr 30, 2012
Posts
2,413
Reaction score
995
wanandoa, ebu tuelezane ukweli hapa, hivi ni kwa lipi hasa linatufanya baadhi yetu tuwe tunatoka nje ya ndoa zetu ilhali tuna wenza wetu tunaowapenda kwa dhati? hivi ina maana pale mnapofunga ndoa mmoja wenu huwa anadanganya au anajaribu ndoa au? tunaweka mazingira yasiyovutia hasa kwa wale wasio kwenye ndoa kutotamani kuingia huko kwa kuwa kila kukicha wanachokisikia kuhusu ndoa ni bad news. jamani karibuni tujuzane ni kwa nini hali hii imekithiri sana siku hizi, na ni namna gani tutajaribu kuelimishana ili basi tuachane na mambo hayo na kuheshimu ndoa zetu.
nawasilisha.
 
wanandoa, ebu tuelezane ukweli hapa, hivi ni kwa lipi hasa linatufanya baadhi yetu tuwe tunatoka nje ya ndoa zetu ilhali tuna wenza wetu tunaowapenda kwa dhati? Hivi ina maana pale mnapofunga ndoa mmoja wenu huwa anadanganya au anajaribu ndoa au? Tunaweka mazingira yasiyovutia hasa kwa wale wasio kwenye ndoa kutotamani kuingia huko kwa kuwa kila kukicha wanachokisikia kuhusu ndoa ni bad news. Jamani karibuni tujuzane ni kwa nini hali hii imekithiri sana siku hizi, na ni namna gani tutajaribu kuelimishana ili basi tuachane na mambo hayo na kuheshimu ndoa zetu.
Nawasilisha.

sometimes wake zetu wanajisahau sana
especially pale tunapobahatika kupata watoto
wengi wao wanakua tena hawajiangalii angalii kama zamani,penzi lote huhama na kuamia kwa watoto,hutusahau sisi waume zao,
sometimes upweke ndio unatufanya wengne kutafuta faraja nje,japo tunakiri ya kwamba tunafanya makosa
 
Tamaa ndio zinasubua ndoa nyingi.

swala la wanawake kujisahau napinga kiasi fulani, maana wadada wa siku hizi kwakweli wanajipenda sana.
alafu kama unaona mwenzi anajisahau si umueleze na pia uchangie kumuweka up to date.

kwa mfano, mwanaume anapenda mwanamke mwenye chain kiunoni, lakini hamnunulii. yupo radhi aifuate kwa kimada.
 
sometimes wake zetu wanajisahau sana
especially pale tunapobahatika kupata watoto
wengi wao wanakua tena hawajiangalii angalii kama zamani,penzi lote huhama na kuamia kwa watoto,hutusahau sisi waume zao,
sometimes upweke ndio unatufanya wengne kutafuta faraja nje,japo tunakiri ya kwamba tunafanya makosa
hivi kweli hili ni tatizo lakukufanya uuze utu wako uvue suruali yako kidushelele kionekane kwingine ?if u real love your wife and she is not just a wife she is your close frende mna kaa chini unamwita mnaongea kwa utaratibu ,hiyo ni naturally nakumbuka mume wangu alinikanya the same story kuwa mapenzi yamehami akwa mtoto japo ilikuwa kweli fasta nilirudi kwenye mstari japo kwa kulazimisha mindi u mtoto mdogo anahitaji great care than his father na kila mmjaana nafasi yake kwangu n muda wake siwezi mpa mzigo wakati dogo ananyonya anaia kila kitu na wakati wake
 
sometimes wake zetu wanajisahau sana
especially pale tunapobahatika kupata watoto
wengi wao wanakua tena hawajiangalii angalii kama zamani,penzi lote huhama na kuamia kwa watoto,hutusahau sisi waume zao,
sometimes upweke ndio unatufanya wengne kutafuta faraja nje,japo tunakiri ya kwamba tunafanya makosa

si kweli haya ni maneno ya wanaume kujustify matendo yao.
tuliambiwa ndoa ni kuvumiliana kufundishana na kukamilishana mnatakiwa mtambue kuwa mwanamke anapojifungua pia nae hutamani na wewe uwepo kumfariji na kumsaidia kazi ya ulezi ni ngumu na inahitaji busara kuendana nayo. sasa ukienda nje unakuwa umemsaidia nini au umeanza kuongeza matatizo hata huko nje nae akipata mtoto anaweza akawa hivyohivyo. cha msingi ni kumuelekeza mkeo kuwa amejisahau na anatakiwa kukukumbuka.anatakiwa kuwa msafi anatakiwa kuwa hivi na vile.
 
Kwanini gazeti la jirani tamu kuliko la kununua mwenyewe?

wanadai lako umelizoea la jirani kama jipya vile sasa la jirani ukishalizoea unaona nalo la zamani unaenda mtaa wa tatu ukichoka unarudi kwenye gazeti lako la nyumbani na kukumbuka kuwa hili gazeti ni lako hivyo huna budi kulitunza na kulipenda.
 
Hope na mimi nitaeleimika kupitia hii mada,mbaya zaidi unakuta anacheat na hawara hata watatu.Mimi mke ningekuwa simjali ningemuelewa kama angecheat na mmoja.Tamaa zinawasumbua wote wanaocheat wake kwa waume
 
ni sera za ukweli na uwazi mwambi e tu mwenzio unachopenda na usichopenda awe kwenye mstari
 
wanadai lako umelizoea la jirani kama jipya vile sasa la jirani ukishalizoea unaona nalo la zamani unaenda mtaa wa tatu ukichoka unarudi kwenye gazeti lako la nyumbani na kukumbuka kuwa hili gazeti ni lako hivyo huna budi kulitunza na kulipenda.

Promoted to GOLD LADY effectively from now!
 
[Take me as I am or watch me as I go]
hehehehe kumbe mie sio mwanandoa napita jamani ila honestly ni tamaa za wanaume tu kisipite kitu wanakitaka nadhani wangeubwa Blind ndo ingekuwa poa wangetulia na mmoja maana wasingejua wamewapendea nn...
 
[Take me as I am or watch me as I go] hehehehe kumbe mie sio mwanandoa napita jamani ila honestly ni tamaa za wanaume tu kisipite kitu wanakitaka nadhani wangeubwa Blind ndo ingekuwa poa wangetulia na mmoja maana wasingejua wamewapendea nn...
. Aliyenaye hangemwonage?
 
hahahah si angeridhika na chochote atakachokikuta coz asingeona wengine wakoje
 
wanandoa, ebu tuelezane ukweli hapa, hivi ni kwa lipi hasa linatufanya baadhi yetu tuwe tunatoka nje ya ndoa zetu ilhali tuna wenza wetu tunaowapenda kwa dhati? hivi ina maana pale mnapofunga ndoa mmoja wenu huwa anadanganya au anajaribu ndoa au? tunaweka mazingira yasiyovutia hasa kwa wale wasio kwenye ndoa kutotamani kuingia huko kwa kuwa kila kukicha wanachokisikia kuhusu ndoa ni bad news. jamani karibuni tujuzane ni kwa nini hali hii imekithiri sana siku hizi, na ni namna gani tutajaribu kuelimishana ili basi tuachane na mambo hayo na kuheshimu ndoa zetu.
nawasilisha.

life cycle tuu inatokea kwa kila ndoa ukikuta ndoa haijapata hii life cycle unayoiuliza basi ujue ni moja kwa mia moja
 
THE LAW OF DIMINISHING MARGINAL UTILITY!!!!!!!!! Baaaaaaaaaaaaaassss!

Mama samahani kwa kutoka nje ya mada, tafadhari kama hutojali nifahamishe ulisomea kombenesheni gani maana upo vizuri sana kila kona
 
Tena mimi hasa mijitu yenye ndoa ambayo Binti.com akipita inameza mimate hadi yanajaa tumboni wakati ina wake zao nyumbani siipendi kabisaaa. Kama hamridhiki nao mliwachagua wa nini???
 
Back
Top Bottom