kwa wanandoa tu.. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

kwa wanandoa tu..

Discussion in 'Mahusiano, mapenzi, urafiki' started by olele, Jan 26, 2012.

 1. olele

  olele JF-Expert Member

  #1
  Jan 26, 2012
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 814
  Likes Received: 339
  Trophy Points: 80
  Hi wana jf, juzi wakati nasoma my bible niligundua kitu cha ajabu kweli
  Adam kwa mara ya kwanza alipoamka usingizini akakuta ameumbiwa mwanamke pembeni yake akasema “ huyu ni mfupa katika mifupa yangu, na nyama katika nyama yangu”… basi ataitwa mwanamke” (mwanzo 2:23) but baada ya kufanya makosa ya kula tunda baada ya kudanganywa na nyoka unajua adam alivyomuita? (Mwanzo 2:20) Adam akamwita mkewe jina lake HAWA kwa kuwa yeye ndiye aliye MAMA yao wote walio hai”. Ni hivi hakumuona tena kama alivyomuona mwanzo “mfupa wake, nyama yake, mwanamke wake, ee mrembo wake nk. Bali akaanza kumuona kama mama, mzazi, kazi yake ni kuzaa.

  Nimewahi kuwasikia wanaume wengi wakiwaita wake zao “MAMA” hata pia wanawake wanawaita waume zao “BABA” ni kipindi gani katika ndoa unaanza kumuona mke/mume wako baba au mama, na kwa sababu gani anaanza kuwa hivyo?, je ni sawa? Ni aina fulani ya heshima? Unajisikiaje wewe ukiitwa hivyo?

  mawazo yenu yanahitajika sana.
   
 2. h

  hayaka JF-Expert Member

  #2
  Jan 26, 2012
  Joined: Sep 26, 2011
  Messages: 476
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  kwangu haitakaa itokee! Mume ni mume na baba ni baba no matte wat!
   
 3. Pearl

  Pearl JF-Expert Member

  #3
  Jan 26, 2012
  Joined: Nov 25, 2009
  Messages: 3,042
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Ukisoma bible unatakiwa kuomba msaada wa roho mtakatifu,anyweiz nisiingie huko sana but kuna sababu nyingi,Mume wangu ananiita jina langu alwaz,na mm namuita BBY,tatizo lilikuja mtoto we2 alipokuwa mdogo nae akawa anamuita babake BBY,so ikabidi nibadilishe ili kumfundisha mtoto,so nikaanza kumuita mume wangu,DADDY.
   
 4. Kongosho

  Kongosho JF-Expert Member

  #4
  Jan 26, 2012
  Joined: Mar 21, 2011
  Messages: 36,126
  Likes Received: 303
  Trophy Points: 160
  Mke akishazaa, halafu nikaanza kufanya kama navyofanya kwenye avatar yangu
  naanza kumwita mama.

  Ni raha kunyonya hotel ya mkeo.
   
 5. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #5
  Jan 26, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  Kazi kweli kweli...chezeya hoteli sasa...utaita majina yote....lol:washing:
   
 6. olele

  olele JF-Expert Member

  #6
  Jan 26, 2012
  Joined: Dec 2, 2010
  Messages: 814
  Likes Received: 339
  Trophy Points: 80
  pearl nakuhakikishia sikuisoma kiju juu na ni mara nyingi sana nimesoma hiyo sehemu lakni sikugundua, jaribu kusoma kwa
  kutaka kujua uone, kuna kitu kimejificha,
   
 7. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #7
  Jan 26, 2012
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  Hivi kabakabana ulishamjibu alipokudondokeaga?
   
 8. Michelle

  Michelle JF-Expert Member

  #8
  Jan 26, 2012
  Joined: Nov 16, 2010
  Messages: 7,364
  Likes Received: 194
  Trophy Points: 160
  swali zuri, ila nakumbuka kabakabana aliuliza kuhusu jinsia ya Kongosho na majibu kidogo yalikuwa na utata...lol
   
Loading...