Kwa wanachuo mnaoingia mtaani

madeinmusoma

JF-Expert Member
Jan 7, 2014
322
386
Kwanza poleni kwa kazi kubwa mlioifanya, hakika kuwa na degree ni ndoto ya vijana wengi. Kwa juhudi zenu na kwa baraka za Mola mumeweza kumaliza salama. Ila kuna kitu kidogo ningependa kuongea na nyinyi.

Huku mtaani mnapoingia ni tofauti na chuo, maisha ya mtaa kamwe usifananishe na chuo. Huku mambo magumu kidogo zaidi ya chuo, huku unatakiwa kuishi kwa busara na hekima zaidi ili uweze kutimiza malengo yako.

Yule mjomba aliyekwambia mtumie CV ukimaliza chuo tu anakuajiri usishangae akikuzimia simu.

Yule danga aliyekuchezea kipindi upo chuo huku akikwambia ukimaliza anakuajiri usishangae akaanza kuwa busy kupitiliza.

Yule dada au kaka ambae mulikuwa sambamba kila hela ya BOOM.ilipo toka mukaitumia mulivyo taka saiz hutokuwa nae tena.

Yule kijana au dada ambae mulikuwa munaishi maisha ya ndoa chuon kwa kulala na kupika pamoja leo hii mtakuwa mbali na huenda mukapotezana.

Dada yule kaka uliye kuwa nae chuo ukakubali kubeba mimba kwa ahad kuwa atakuoa mukimaliza chuo msahau maana sio rahisi.. Jiandae kifikra kubeba majukum ya kulea mimba na mtoto.

Wale marafiki uliokuwa unakula nao bata hutawaona tena, utakuwa nyumbani na bibi yako akiwa na matumaini kesho unaingia kazini ili uweze kununua yule ng'ombe aliyemuuza ili kukusomesha. Utakuwa wewe na familia yako huku wakitegemea makubwa kutoka kwako.

Dada ulipo kuwa chuo ulitumia uzur wako kupata alama za juu ktk mitihan yako na kuwavutia wazee walio kuja kusoma..ni mwili huo huo utakao hitajika pind ukipeleka barua ya maombi ya kaz sehem.

Kwa bahati mbaya huku mtaani ni gombania goli, kila mtu anatafuta nafasi ya kuajiriwa ili aweze kusaidia familia yake. Acha kujishaua eti bila milioni sifanyi kazi. Labda nikwambie tu, huku kuna watu wana fegree kama yako na wana miaka mitatu hawana ajira.Mimi mwenyewe ninae andika hii makala nimehitimu 2015 ila bado sioni mwanga kuingia shamba la bibi

Mwanzo uliona walio mtaani bila kaz ni wavivu au wazembe
Bas nawe karibu uoneshe uhodari wako. Tuone ukibadilisha simu na mawigi kadri ulivyo penda ulipo kuwa chuo.

Kaka Ulipo kuwa chuo ulizuzuka na vibint toka mikoan ukatumia ukubwa wa elimu yako kuwapata watoto wa diploma na certificate. Walikufanya uwaone wanawake walio zaa taka taka.. Ila ushamaliza chuo huku mtaan SINGLE MOTHERS wengi ndio wanao jishughulisha na wenye kujua kupenda na wana yajua maisha. Vibint kaz zao kudanga tu maisha yaende.

Mwisho

Wale marafik zako ulio.waona hawana maana kisa wao hawajafika chuo leo utaomba wakusaidie kupata hata kibarua cha kufua nguo..
Uliona wao sio hadh yako tena kwa kuwa elimu yao ndogo

Yule mwanaume au mwanamke uliye muacha kisa umepata wajanja wa chuo wajuaji ..leo unarud mtaan utamkuta ana endelea vyema na maisha yake. Wakat ww unaish kwa wazaz au ndugu kwa sasa yeye anajilipia kodi kapanga au kajenga

Miaka 3 uliyo kaa chuo yeye alitumia kutafuta pesa. Usijisahau ukamfuata akurudie kwa madai ulipitiwa na shetan
Pambana na hali yako

Elimu ya karatas haina maana chenye maana ni elimu ya maisha
 
Tanzania tuna shida kubwa ya mentality nani kasema kuna connection kati ya Elimu na kuwa na pesa au mafanikio maishani?

Elimu ni basic kabisa ndio maana huko Ulaya watu wanaosha maiti au ma Barmaid wana hizo degree. The only issue ni kuongeza ufanisi kwenye kile kitu unafanya.

Ambacho ungeshauri ni kurasimisha taaluma nyingi mfano Make up artists, maproducer wa mziki, waigizaji movie basi walau wanasomea Bachelors ya masuala husika ili wawe na ufanisi ila Elimu kma Elimu haina substitute ni basic kama tu kuwa na kitambulisho cha Taifa au Kupigwa chanjo ya Surua!!

2. Kingine BAHATI ni pale matayarisho yanapokutana na fursa. Kwahiyo mwenye Elimu kajiandaa so ikitokea fursa anaweza fit ila ambaye hana skill husika mfano Masuala ya gesi alafu ukaja mradi wa masuala ya gesi unahitaji wataalam unadhani nani atakuwa na BAHATI hapo?

3.Kingine Elimu ni uwekezaji ambao hauozi hta miaka 50 zaidi unahitaji upgrade tu kuendana na mabadiliko ila biashara inaweza pitia changamoto mtaji ukafa but mwenye skill fulani kupitia taaluma aliyosomea say Architecture au Ualimu anaweza practice upya na akaendelea kutoa huduma kwa miaka consistent. So Elimu haina mbadala tusijitie moyo humu
 
Nimeipenda hii tu
 
Aliekwambia Elimu haiozi ni nani mkuu, ukishavuka 45 jamhuri haikutambui. Hutaajirika kokote per scale zao!
 
Back
Top Bottom