Kwa wana udsm tu.

Perry

JF-Expert Member
Feb 24, 2011
10,043
2,000
Fungua aris,check matokeo yako,then tuhabarishe una supp ngap..binafc cna supp ila nina makarai ya kutosha.over
 
Pole sana kwa hiyo unacheza na gpa ya 2 ungekuja saut we ungecheza kwenye 4.6 hivi
 
Mbona umesema kwa wana udsm tu halafu kuna saut tena? Ila nionavyo saut kitabu ni zaidi maana mwasoma hadi j1? Si wenzenu j1 hatumo ni kujisomea tu.
 
cko kwenye 2 mkuu,nachezeaga kwenye 3 cku zote.

we si ndiyo mwenye average ya 3.7-3.9, ushajichanganya tena? Kweli ukiwa muongo usiwe msahaulifu, nilishasema we una GPA ya mkwe.re ukabisha....hiyo average siyo 3 kama unavyojinadi
 
Back
Top Bottom