Mimi kuja natamani kweli ila I JUST LIKE KIND OF ENJOY BEING INVICIBLE!!!!!!! I guess ill pass!
Swali la Msingi!!! WHOSE TREAT IS IT ANYWAY!!!? (Dont tell me its yours mdau, umeamua kumwaga radhi humu!!!!!!!! WOW!)

Ujue wana jamii jf wanaonekana wanapendelea zaidi kuwa invissible kuliko kuwa vissible.mii nashauri kongamano lifanyike on line
Inawezekana kabisa kuhudhuria na tukaendelea kuwa invisible......... kwenye kujitambulisha kila mtu atatumia jina lake la ukweli maana si ajabu utakuta watu kibao wanakufahamu. kama mimi nikijitambulisha ni Jenista Haule mtajua kuwa ni FP?Mimi kuja natamani kweli ila I JUST LIKE KIND OF ENJOY BEING INVICIBLE!!!!!!! I guess ill pass!
Swali la Msingi!!! WHOSE TREAT IS IT ANYWAY!!!? (Dont tell me its yours mdau, umeamua kumwaga radhi humu!!!!!!!! WOW!)
Af una akili wewe!Inawezekana kabisa kuhudhuria na tukaendelea kuwa invisible......... kwenye kujitambulisha kila mtu atatumia jina lake la ukweli maana si ajabu utakuta watu kibao wanakufahamu. kama mimi nikijitambulisha ni Jenista Haule mtajua kuwa ni FP?
ni kweli mdogo wangu, ila sasa si watu hawataki tujue huyu ndo snowhite!Af una akili wewe!
ahahhahahhahhhahha full mimi ndo Kizimba Mlatyo nani atajua!ahahahhahah dadamkubwa bana!ila kujua kwa ID ndo poa bana so funny
haswaaaaa.......... betlehem
mi ntaangalia tu taarifa za habari saa mbili au kwenye blogu, fesibuku na twita!!!
kuna raha flani kuwa anonymous!!!
Ila kuna pipoz jamani wanapenda kujulikana kwa nguvu....................pyuuuuh!!! (nawamezea)
ha haaaaaaaaaaa, haya bwana.......mimi shem wako huwa anajua ID yangu!yupo humu humu JF but boonge la mwanasiasa huku MMU anapita tu!