Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,234
- 26,754
It is never late wit you and me...!!!:mwaaah:
hope ur good and back in town.....
It is never late wit you and me...!!!:mwaaah:
hahahhahahahah....asante mama, nimefunga mdomo.hili siyo jumba la sinema.
sifaaaaaaaa kuwa wanawe hawaja pekenyuliwa
asa huo mziki wako ndio umekutana na Dvj machachali, Dvj jsar a.k.a thehunk ....mbona utaomba poooh and party is in the beginning
Weekend iliyoisha nilipata kumtembelea dada yangu mmoja (family friend) ambaye niliyepotezana nae muda mrefu kidogo, inshort amejaliwa kupata watoto watatu na wote wa kike wa kwanza yuko chuo mwaka wa pili pale udsm, wa pili ni form five na watatu ni form 1 .
Sasa kilicho nishangaza au kunishitua kidogo ni jinsi anavyo waita watoto zake,kwanza nikasikia akimwita mtoto wa kwanza "we bikra florah fanya hivi" mara ni kasisikia akimwita wa pili "we bikra catherine umemaliza nilichokutuma" na watatu hivyo hivyo anatumia neno 'bikra ' likifuatia na jina la huyo mtoto husika sasa mi nikashangaa ikabidi nimuulize kwa nini anawaita hivyo ? akanijibu kwa sababu kweli ni ma bikra haa nikazidi kushangaa nikasema kwani ukiwaita majina yao tu huo ubikra utatoka akanijibu hilo linawaongezea confidence kwani ni prestige kwao so wanajisikia fahari ....na ni kweli watoto wanaonekana wamesha zoea au wanapenda kwani wako confortable kabisa mh basi mi as usual ni ka crack a joke by saying " basi usiwaite bikra waite bikira mana bikra sound like ya kununua " tukacheka then mastory ya maisha yakaendelea ........
Sasa je wana mmu hasa wa mama unaweza waita hivyo wanao tena mbele ya mgeni?
Je ni kweli inawaongezea confindence?
He he he he anatudhalilisha