Anajuaje kama bado wapo sealed...wameshatobolewa sema hajui tu...au hua anawachungulia papuchi zao kama bado sealed..hahahaha
Huyo mama atakua na matatizo. Kwa mtu mwenye kuheshimu utu wa mtu hawezi kutumia maneno hayo kumuita mtoto wake naona ni kumdhalilisha flani hivi . Lbd kama anawatafutia soko sio mbaya si unajua biashara matangazo, ama kweli tembea ujionee .
Samahani kwa swali binafsi kama wewe thehunk ni me hivi umeshaoa ama bado??? Kama bado Inawezekana wewe ulichangia awaite majina ya bikra kukujulisha tuu wako free kuolewa sasa badala ya kushangaa kazi ibaki kwako...
mmmh ! kazi kweli kweli!!!!katika mazungumzo yao naona ndio wakamwambia mama yao kuwa ni ma bikra wote
Neno lolote likitumiwa vibaya hata kama ni zuri huwa kama tusi kwa mlengwa. Hebu kuwa mwanifu wewe ukisikia mtu anasema lets say mume anasema ktkt ya watu kwamba mke wangu nilimkuta bikra/ sio bikra huoni kwamba ni ukosefu wa staha. Yapo maneno yanayotumiwa ili kupunguza ukali wa neno kama vile msichana huyu amejitunza moja kwa moja msikiaji ataelewa kuwa dada ni bikra. Au mtu kusema mke wangu nilipomuoa nilikuta amejitunza namshukuru Mungu, hata mtu ukisikia hivi hutastuka utaelewa nini anamaanisha.hapo kwenye red, kwani kuwa na bikra ni kitu kibaya mpaka useme ni kuwadhalilisha .....
Mama anatakiwa kupepewa huyo, hata kama ni mabikira ndo nini kuwaita mbele za watu?
Au ndo biashara matangazo?
bikra tinna cute hahahahahaha. Sounds funny huh!
Jamani pengine na yeye ni mwanamkeWewe hao wote watatu umeshindwa hata kukamua mmoja ujue ni bikra kweli? Kwahiyo ulienda hapo umezungukwa na mabinti ukazubaa tu.
Bikira Munkari uko poa?hilo nalo neno!!