Ndugu wapendwa kwa yeyote ambaye anategemea kujiunga na Mbeya University of Science and Technology(MUST) zaman kikiitwa Mbeya Institute of Science and Technology(MIST) jijin Mbeya kwa mwaka wa kimasomo 12/13.. Anaweza kudrop maswali au kuomba ushauri juu ya university hii.. Hususa kwa wale waliotoka form six ambao wataenda kusoma bridging coarse kwa mwaka mmoja hususa kwenye Bachelor ya Civil Engineering.. Hata wale waliotoka diploma au FTC kwenye vyuo vya ATC.. DIT..Karume..na Rwega chuo cha maji.. Wewe funguka 2 hapa..