O Offline User JF-Expert Member Joined Dec 20, 2010 Posts 3,828 Reaction score 2,395 Nov 30, 2013 Thread starter #21 Preta said: Nimezaliwa tar 14 Sept......nitafaa.....? Click to expand... Yeah, utafaa kuwa sex partner tu! Deal or no deal?
Preta said: Nimezaliwa tar 14 Sept......nitafaa.....? Click to expand... Yeah, utafaa kuwa sex partner tu! Deal or no deal?
aqeeler Member Joined Sep 28, 2013 Posts 51 Reaction score 7 Nov 30, 2013 #22 Tongs said: Hey ladies; Natoa 'offer' ya urafiki utakaopelekea uchumba kwa msichana aliezaliwa Jan 15, mwenye miaka 20-30. Lengo ni kuwa na rafiki ninaye-share naye 'birthdate'. Nimezaliwa tarehe hiyo pia. Mengine tutaelezana kwa PM. Click to expand... Mi nimezaliwa terehe hiyo na ninamiaka 25 so kavipi twenzetu
Tongs said: Hey ladies; Natoa 'offer' ya urafiki utakaopelekea uchumba kwa msichana aliezaliwa Jan 15, mwenye miaka 20-30. Lengo ni kuwa na rafiki ninaye-share naye 'birthdate'. Nimezaliwa tarehe hiyo pia. Mengine tutaelezana kwa PM. Click to expand... Mi nimezaliwa terehe hiyo na ninamiaka 25 so kavipi twenzetu
mwallu JF-Expert Member Joined Sep 5, 2013 Posts 6,787 Reaction score 4,217 Nov 30, 2013 #23 duh kwamba unatoa offer
badiebey JF-Expert Member Joined Nov 29, 2013 Posts 5,875 Reaction score 3,118 Nov 30, 2013 #24 Kw hyo unatafta ndoa?..kw style hii umechemka,unafkr mwanamke anataka ndoa kisa mmeshare bday?‎؟jipangeeee
Kw hyo unatafta ndoa?..kw style hii umechemka,unafkr mwanamke anataka ndoa kisa mmeshare bday?‎؟jipangeeee
Chloroquine JF-Expert Member Joined Feb 5, 2013 Posts 217 Reaction score 112 Nov 30, 2013 #25 charminglady said: Haya mkuu... Ngoja nisepe mie nimezaliwa 30th feb Click to expand... Dah we si wadunia hii hiyo tarehe haijawahi kutokea
charminglady said: Haya mkuu... Ngoja nisepe mie nimezaliwa 30th feb Click to expand... Dah we si wadunia hii hiyo tarehe haijawahi kutokea
miss strong JF-Expert Member Joined Jul 4, 2012 Posts 7,011 Reaction score 3,708 Nov 30, 2013 #26 Nyota ya paka hyo....kupendwa na wanga
Nambe JF-Expert Member Joined Jan 18, 2011 Posts 1,451 Reaction score 534 Nov 30, 2013 #27 Munkari said: aiyaa!! ilibaki kidogo 2fanane!! Yani tarehe hzo full shangwe! Click to expand... Mambo ya "mwisho wa mwezi hata lugha hubadilika..habari gani hugeuka kuwa....."
Munkari said: aiyaa!! ilibaki kidogo 2fanane!! Yani tarehe hzo full shangwe! Click to expand... Mambo ya "mwisho wa mwezi hata lugha hubadilika..habari gani hugeuka kuwa....."