Kwa waliowahi kuwekana kinyumba bila ndoa

Mimi nadhan yangu ilitia Fora.

Nilikaa na Msichana ndan kwa miaka miwili, 2011 na 2012 yote, ghetto, enzi za chuo - Boom lilisaidia kupanga off Campus.
Huku wazazi na walezi wetu wote wakijua tunakaa Hostel za chuo.

. Maisha yake Dah!.

Lengo ni kijitegemea na kuanza Maisha mapema na kuwa na biashara.
Na since then sijawah rud Nyumban kukaa, ni kwenda kusalimia tu.

Sent from my iPhone using JamiiForums
hongera ndio hatua izo za maisha wengi tulikaa nao wakati tupo shuleni
 
Mimi nadhan yangu ilitia Fora.

Nilikaa na Msichana ndan kwa miaka miwili, 2011 na 2012 yote, ghetto, enzi za chuo - Boom lilisaidia kupanga off Campus.
Huku wazazi na walezi wetu wote wakijua tunakaa Hostel za chuo.

. Maisha yake Dah!.

Lengo ni kijitegemea na kuanza Maisha mapema na kuwa na biashara.
Na since then sijawah rud Nyumban kukaa, ni kwenda kusalimia tu.

Sent from my iPhone using JamiiForums
Watu wa aina yako ni wengi sana chuo flan hapa Dsm tofauti inakuja tu kwamba hapa wanatiana mimba sana alafu wakimaliza kila mtu na njia yake.

So wewe bado unaishi nae?
 
Mimi binafsi kutwa Mara 6 wengine wanaenda mpaka Mara 12!
Na wale professional kabisa wanapiga nyungu Mara 20 Sasa kuna maguru hawa ni mara 30 mpaka 35!!!
Mimi haiwezi tokea kwa masaa 12 .. naweza piga vitatu mwisho alafu mwanamke mwenyewe haridhiki yaani kila mara anataka nimchokonoe

Sent using Oppo A3s
 
Mimi ninaye mpaka sasa ana wiki (03) anasema tujenge maisha ila anasema nikajitambulishe kwa wazazi wake .. sema mbali sana kwao .. Mbeya ila Mimi niko Mwadui -Shinyanga na nilikutana nae Mwadui . Wazazi wangu hawajui na wazazi wake mmoja wao anajua ambaye ni mama yake ndo anafahamu ...
Alafu mie wazo la kuoa naona halipo kabisa ila naishi km nimeoa
 
Sio wastani mbaya sana masaa 12 goli 3 ina maana kila baada ya masaa 4 goli 1 kwa ajili ya afya ni wastani mzuri

lakini wenzio tukitaka Big show ni kila baada ya masaa 2 goli 1 ina maana masaa hayo 12 goli 6
 
Endelea kujilia vya kwenye ndoa for free
 
Sio wastani mbaya sana masaa 12 goli 3 ina maana kila baada ya masaa 4 goli 1 kwa ajili ya afya ni wastani mzuri

lakini wenzio tukitaka Big show ni kila baada ya masaa 2 goli 1 ina maana masaa hayo 12 goli 6
Mimi huwa nachoka ... Nikipiga vinne hiyo imetoka mpaka kesho... Ila huu mwezi nimefululiza mnoo kila siku iendayo kwa Mungu .

Sent using Oppo A3s
 
Mimi huwa nachoka ... Nikipiga vinne hiyo imetoka mpaka kesho... Ila huu mwezi nimefululiza mnoo kila siku iendayo kwa Mungu .

Sent using Oppo A3s
Pumzika kidogo umvumvutie pumzi 😂😂😂😂😂😂😂 kila kichwa cha chini akiumi?
 
Mimi ninaye mpaka sasa ana wiki (03) anasema tujenge maisha ila anasema nikajitambulishe kwa wazazi wake .. sema mbali sana kwao .. Mbeya ila Mimi niko Mwadui -Shinyanga na nilikutana nae Mwadui . Wazazi wangu hawajui na wazazi wake mmoja wao anajua ambaye ni mama yake ndo anafahamu ...
Alafu mie wazo la kuoa naona halipo kabisa ila naishi km nimeoa

Sent using Oppo A3s
Ulivyo kenge umeamua kuweka na picha kabisa

If you want to Kill, KILL don't talk.
 
Nimeshangaa sana huyu jamaa kuweka picha ya huyo mdada hapa, kwa nini asingeweka yake.

If you want to Kill, KILL don't talk.
Acha mihemko mzee Huyo jamaa kaweka picha isiyo halis demu wake namjua vzr tupo nae hapa mwadui

Sent by IPhone
 
Back
Top Bottom