Kwa waliowahi kuishi Iringa, comment hapa tafadhali

Kwa waliowahi kuishi Iringa, comment hapa tafadhali

Mi nimeishi mlandege kota kota yetu ya gorofan dah nakumbuka mbali ez z Alosto boy nani kaona. Kulikuwa kunamzee moja mnene anakrab anaitwa makondeko dah nasikia kavuta.

Michezo yetu watoto wakota dah nakumbuka mbali sana kunajamaa alikuwa anaoyesha video anaitwa Atiya. Sehem yetu nyingine yakuchek move ilikuwa vunjo dah kitambo sanaa ilikuwa vunjo wakizingua tunaenda kijiwen kijiwen wakizingua tunaenda kwa mabruk.

Dah iringa raha sana shule mapinduz namkumbuka Yahya kijicho islam Jamas mtoto wamkuu wamkoa wa zaman mapinduz ilikuwa shule ya watoto wengi wa kitazin na uwindin
 
umesahahu agafilo club pale mshindo mkuu,
mie nimezaliwa kitanzini kwa watoto wa mbwa
primary Wilolesi
Secondary Ruaha sec
A level ndo nikaenda Mbeya
[/QUOTE
Mmmmmmh tutapishana humu kumbe tunafahamiana
​ah haha haaa na tunafahamiana kweli, tatizo la kila kitu kuwa fake humu ndani ndo mana tunagwayana, usikute wwe dada yangu lakini wacha tuendelee kuwa fake hivi hivi
 
kitanzini lazima unamfahamu mzee roka
,roka taxi no.14

wilolesi hapan shaka utamkumbuka kajiba
ruaha sec,lazima topic ya meander,
geography uliielewa uzuri
mbeya hapan shaka kumbukumbu ya
parachichi ktk msosi
utakuwa nayo
ah haha haa, mzee rocka na ile taxi aliibadili miaka ya hivi karibuni,
mwanae yule brazameni ndo anaiendesha,
daah wilolesi, namkumbuka mapunda,komba na yule ticha mkuu mwenye upara
Ruaha sec, Mtitu, Momela, Madam Beck Fairly na mumewe Jim,
Madam muga mnooko, kama ulisoma pale 2001 - 2005
kuna scandal yangu moja ilivunja rekodi nikikupa utanikumbuka mkuu
 
Mi nimeishi mlandege kota kota yetu ya gorofan dah nakumbuka mbali ez z Alosto boy nani kaona. Kulikuwa kunamzee moja mnene anakrab anaitwa makondeko dah nasikia kavuta. Michezo yetu watoto wakota dah nakumbuka mbali sana kunajamaa alikuwa anaoyesha video anaitwa Atiya. Sehem yetu nyingine yakuchek move ilikuwa vunjo dah kitambo sanaa ilikuwa vunjo wakizingua tunaenda kijiwen kijiwen wakizingua tunaenda kwa mabruk. Dah iringa raha sana shule mapinduz namkumbuka Yahya kijicho islam Jamas mtoto wamkuu wamkoa wa zaman mapinduz ilikuwa shule ya watoto wengi wa kitazin na uwindin
Vunjo kwa Edgar, tsh 100 movie mbili daah those days in Iringa, namkumbuka marehemu Cool 9
 
ah haha haa, mzee rocka na ile taxi aliibadili miaka ya hivi karibuni,
mwanae yule brazameni ndo anaiendesha,
daah wilolesi, namkumbuka mapunda,komba na yule ticha mkuu mwenye upara
Ruaha sec, Mtitu, Momela, Madam Beck Fairly na mumewe Jim,
Madam muga mnooko, kama ulisoma pale 2001 - 2005
kuna scandal yangu moja ilivunja rekodi nikikupa utanikumbuka mkuu

Kwa maelezo haya tunafahamiana kweli, haya acha ibaki km ilivyo
 
hapana mkuu walikuwa wanagwayana hawa, shetani aliyebarikiwa alikuwa na jicho la kondoo

Hahahah shetani aliyebarikiwa alifika sehemu akaokoka, ikawa mara nyingi anaenda hospitali ya mkoa kuombea wagonjwa
 
Hahahah shetani aliyebarikiwa alifika sehemu akaokoka, ikawa mara nyingi anaenda hospitali ya mkoa kuombea wagonjwa
ah hahaa, have never had of these news, lolest, ni vizuri aiseeh
 
Yes nimekumbuka, Nilikuwa hata sijaseto bado nilikuwa naishi ruaha hotel.
Ok, Kwa Mzee Malipula? Hapo Disco enzi hizo ilikuwa never miss ngoja siku yake nitakuwekea picha za Disco Hapo.
 
Nimesoma highlands pale mwaka flan tilikuwa waweminari kibao nikapata kimwana alinizingua
Ila nimeishi mlandege pale tank la maji
 
Dah hii topic mbona haiishi utamu? Highlands high school 1993 - 1995 tulimkuta headmaster anaitwa kimangare kila mtu alikuwa anamlaumu kwa kuiharibu shule. Hakukuwa na walim. Nilisoma ECA walimu waliokuwepo ni wawili tu. Tulikuwa tunakaa wiki nzima tunasoma BAM tu na commerce kidoogo. Highlands kwa kweli palinipotezes sana ramani. Nakaa kibwabwa daily napandisha ule mlima pande za magereza natokea gangilonga. Kuna siku tunacheza umiseta pale Lugalo highlands na Mwembetogwa kuna mjinga mmoja akiitwa Luka alikuwa beki akichezea mguu wa kushoto alinikata buti dah nilichubuka. Highlands kulikuwa na dogo anaitwa Lebab alikuwa yuko fiti
 
Mimi niliishi Makorongoni kwa Marehemu sheikh,alhadji Tagalile,Nikasoma Kilimani primary school,pale tulisoma na akina Alfred Nchimbi na Emanuel Nchimbi baba yao akiwa kigogo wa polisi iringa nahisi kabisa emanuel yule ndiye huyu alokuja kupata u waziri sura ni kama ile kama kuna mwenye hakika anijuze zaidi hiyo ni around 1985/86 hivi
 
Mi nimeishi mlandege kota kota yetu ya gorofan dah nakumbuka mbali ez z Alosto boy nani kaona. Kulikuwa kunamzee moja mnene anakrab anaitwa makondeko dah nasikia kavuta. Michezo yetu watoto wakota dah nakumbuka mbali sana kunajamaa alikuwa anaoyesha video anaitwa Atiya. Sehem yetu nyingine yakuchek move ilikuwa vunjo dah kitambo sanaa ilikuwa vunjo wakizingua tunaenda kijiwen kijiwen wakizingua tunaenda kwa mabruk. Dah iringa raha sana shule mapinduz namkumbuka Yahya kijicho islam Jamas mtoto wamkuu wamkoa wa zaman mapinduz ilikuwa shule ya watoto wengi wa kitazin na uwindin

mitaa Yangu hiyo
 
Oiiiiiiiii tupo wadau, nimesoma mlangali primary school, olevel nimepiga highlands secondary 2003- 2006, Advance nimepiga mtogwa hapo daaaaaa, kumbuka sana....
Enzi hizo mlangali:
Nasho kayoka
Adu
Omary mtamike
Deus myula
Lau
Denis kayoka
Pius jambaz na watu kibao
Highlands:
Mwacha
Majaliwa kembe
Nyambulapi
Waseminari kibao walihamia
Mtogwa:
Urasa
Ommy makongwa
Nyambali teacher,mgonja
Oiiiiiiiiiiiiii... iringa maskani
Nimeishi mwangata, frelimo, miyomboni wowwwww miss hapo mahala hatareeeeeeeeee
 
Back
Top Bottom