Mr Beach Boy
JF-Expert Member
- Apr 15, 2021
- 1,703
- 5,118
Ni biashara Gani naweza kufanya kwenye fukwe za bahari kwa ajili ya kuwauzia wataliii???
Current Location Zanzibar
Current Location Zanzibar
Nakubali mkuu, hivi naweza kuvipata wapi sana sana kwa bei nzuri?Vinguo vya culture
Booster ya tangawizi.. Ni pesa tupuNi biashara Gani naweza kufanya kwenye fukwe za bahari kwa ajili ya kuwauzia wataliii???
Current Location Zanzibar
Ahsante naomba nifanye uchunguzi katika Hilo japo idea kabisa na biashara hiBooster ya tangawizi.. Ni pesa tupu
Mkuu booster ya tangawizi ndio Nini nimegugo ila naona chai ya tangawizi tuBooster ya tangawizi.. Ni pesa tupu
Nashukuru sana mkuuShanga ,Pete ,mikufu na hata bangali za asili.
SawaNimeandika nikafuta..
UmalayaNi biashara Gani naweza kufanya kwenye fukwe za bahari kwa ajili ya kuwauzia wataliii???
Current Location Zanzibar