Kwa waliosoma secondary kabla ya simu za mkononi tu.

Kwa waliosoma secondary kabla ya simu za mkononi tu.

Mpitagwa

JF-Expert Member
Joined
Feb 10, 2012
Posts
2,338
Reaction score
1,126
Mwenzangu,
Je unakumbuka wakati tunamaliza secondary iwe O level au A level tulikwa na kitu kinaitwa autograph. Unachukua daftari jipya unabandika picha za magazeti na kuwapa rafiki zako wakupe data zao kama vile

Full name

Home Addrress

Best food

Best Actor

Best movie

Best football team

Best player

Best song

Best school

etc etc

Unakumbuka enzi hizo????????
 
Mi ninachokikumbuka ni kuwa enzi hzo hakuna cha Tigo pesa,mpesa na transaction za hvyo. Tulitumia sana TMO,AIRFORM na kufuta stamp kwa mate ili uitumie tena.
 
Yaani kuna mdada aliibaga autograph yangu sijamsamehe hadi leo. She is a lecturer if, hadi leo tukikutana namkumbusha nakudai! Mbaya zaidi hakuitunza. Ningekuwa nayo mwenyewe could have been a good memory!
 
wacha kabisa, lazima uwe na daftari kwa ajili ya autograph na lingine la kuandika lyrics, mmh siku hizi ukiamua kuandika lyrics sijui utajaza madaftari mangapi maana kila siku santuri mpya zinafyatuliwa si ughaibuni si bongo lol!
 
Poleni mliishi kipindi kigumu sana.. Kaka na dada zangu.
 
HEKAYA ZA ABUNUWASI
A%20S%2039.gif
 
Mimi bado ninanlo daftari langu la Autograph mpaka leo.
Zamani boarding heshima ukitumiwa barua, unasomwa jina lako kwenye morning parade basi kila mtu anataka kujua barua imetoka wapi na ndani kumeandikwa nini aiseee.
Shule yetu tulikua tunafuta stamp kwa sabuni na kipande cha godoro inatoka safi kisha unaibandika kwa minyaa duu

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums
 
nakumbuka 1985 form four tosamaganga sec. mko wapi akina lumuli mbonile sr, traphon nkya, mashaka omari "boxer", lambert mende etc..
 
TMO ikiingia we ndo unakuwa tajiri wa shule ...afu ukipokea barua stamp unaibandua na kuifuta na dawa ya meno kisha unaitumia hiyo hiyo kurudisha majibu..afu ukiwa na email we bongo la mjanja shuleni hapo...
 
Me nakumbuka nilikuwa na lycris kama tano hivi. ya hiphop ninayo mpaka leo.
 
Mwenzangu,
Je unakumbuka wakati tunamaliza secondary iwe O level au A level tulikwa na kitu kinaitwa autograph. Unachukua daftari jipya unabandika picha za magazeti na kuwapa rafiki zako wakupe data zao kama vile

Full name

Home Addrress

Best food

Best Actor

Best movie

Best football team

Best player

Best song

Best school

etc etc

Unakumbuka enzi hizo????????

Haahaahaaa🙂 Zile za mabinti ndiyo zilikuwa hadi na maua; picha za akina Madonna na wanamuziki waliotamba enzi hizo.

Mwishoni kuna anwani ya kuwasiliana mkishatawanyika kuelekea makwenu!

Kizazi kipya ukiwaambia sasa hivi wanatuona washamba🙂
 
Mimi bado ninanlo daftari langu la Autograph mpaka leo.
Zamani boarding heshima ukitumiwa barua, unasomwa jina lako kwenye morning parade basi kila mtu anataka kujua barua imetoka wapi na ndani kumeandikwa nini aiseee.
Shule yetu tulikua tunafuta stamp kwa sabuni na kipande cha godoro inatoka safi kisha unaibandika kwa minyaa duu

Sent from my BlackBerry 9900 using JamiiForums

Pesa inatumwa kwa Telegraphic Money Order (TMO). Majina yanabandikwa notice board-unaanza kukopa kwa wauza mihogo\maandazi hata kabla hela hujaipokea toka kwa Karani wa shule! Halafu kwa kuwa shule nzima wanajua umepokea jeuri yako inaonekana kwa matumizi unayofanya na wapambe ambao wanapata nafasi ya kununuliwa mapochopocho!
 
me nilikua mtu wa ajabu sana kwakweli, hivi vitu nilikua navionatu
kwa wenzangu sikuwah kua daftari, sio la autography wala nyimbo....!
 
Yaani kuna mdada aliibaga
autograph yangu sijamsamehe hadi leo. She is a lecturer if, hadi leo
tukikutana namkumbusha nakudai! Mbaya zaidi hakuitunza. Ningekuwa nayo
mwenyewe could have been a good memory!

Ha ha ha umenikumbusha mbali sana. I still have mine. It is a very good memory!
 
Back
Top Bottom