Thomas Odera
JF-Expert Member
- Nov 1, 2010
- 673
- 155
Nakumbuka masurufu kama mkate na orange squash wakati wa kwenda likizo pia kufuta tiketi za basi kwa mafuta ya break na sabuni ili kujipatia nauli kuliko ile halali. Mambo ya autograph nilikuwa naangalia kwa wenzangu tu