Ni vema kutambuana na kukumbushana mambo ya zamani kama kishoka,beto nk. andika mwaka uliomaliza huenda ukapata mliyesoma naye.
angalizo:kama thread hii imerujirudia naomba msamaha kabisa kwani si mwenyeji sana mji huu!!!
1973-1976 kidato cha kwanza hadi cha nne sisi ndiyo waanzilishi wa beto baada ya shida ya maji kuwa kubwa sana vyoo vya kuflash vikawa havifai kutumia kwa hiyo shida zote beto
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.