Kwa waliosoma Pugu na Tambaza | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwa waliosoma Pugu na Tambaza

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Mbavu za Mbwa, May 6, 2012.

 1. M

  Mbavu za Mbwa JF-Expert Member

  #1
  May 6, 2012
  Joined: Jan 2, 2011
  Messages: 288
  Likes Received: 99
  Trophy Points: 45
  Nilikuwa ktk daladala. Nikawa nimesikia kwa kuibia kuwa mkuu wa zamani wa shule ya pugu hadi mwaka 1994 na hatimaye kuhamia Tambaza Mwl Amon Mtera pamoja na mke wake mama Mtera kuwa walifariki baada ya kugongwa na gari. Nimeshtushwa na habari hizi na hivyo nimeamua kuweka thread hii, ili kama yupo mwenye uhakika basi anithibitishie au akanushe.
   
 2. 124 Ali

  124 Ali JF-Expert Member

  #2
  May 6, 2012
  Joined: Apr 25, 2010
  Messages: 5,705
  Likes Received: 2,388
  Trophy Points: 280
  Zamani ipi wengine wa toka enzi za Mr Kalumuna na second Master Mwaipopo-Tambaza ilee ya miaka ya 80's-90's.
   
 3. kichwat

  kichwat JF-Expert Member

  #3
  May 6, 2012
  Joined: Mar 4, 2010
  Messages: 1,824
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Ni kweli. Nimekuta uzi humuhumu JF wa tarehe 22 March. Piga search ya 'Mwl Amoni Mtera' utaipata.
  RIP the Mteras.
   
Loading...