mpwaa.masoud ulimpigaaa kama mm ile dhambi nilitubu sana nkakona nimesamehewamasoud muuza pipi alienda wapi?
Nipo mzee wangu, naona vijana wa kipindi hiko na utotoni mkipata kumbukizi matata,maharaba kijana mpooo
Mimi hiyo shule nilikuwa naiona tu maana nilikuwa napita kwa miguu kuelekea salamander,na wakati mwingine nilikuwa naenda kwenye gazeti la motomoto kupiga sogaHabari yenu wanaJF,
Kama kuna wanaJF waliosoma shule ya msingi Forodhani na kumaliza 1992 au 1993 tujulishane.Nakumbuka mwalimu alikuwa mwalimu Mbuya,kuna baadhi ya walimu kama mwalimu Julius dah huyu alikuwa anachapa bakora hatari.
Kulikua na mwalimu James huyu alikuwa kama bondia,mwalimu Manyama, mwalimu Matata hao ni baadhi ya maticha tu.
Kitu kingine nachokumbuka ni ile mihogo ya kule baharini mnaikumbuka? Kingine ninachokumbuka tulikuwa tunafanya somo la ushonaji kulikuwa na sista mmoja wa kijerumani mfupi alikuwa mkali kama pilipili.
Hapo shuleni hapo kila Jumatano au Ijumaaa ilikuwa inakuja gari la matunda tunajisevia.
Elimu ilikua bora ada ilikua chini.Nakumbuka hadi huyu mtoto wa mkulu sasa hivi mwenye mambo mengi tulikuwa naye hapo shule.
Kwa kusema ukweli naikumbuka sana Forodhani shule ya msingi, kingine nachokumbuka wapinzani wetu wakuu walikuwa bunge shule ya msingi.
Kuna wanafunzi kama Alex Kitomari (RIP),Walter Mazula (RIP) na wengine baadhi yao wako mpaka leo.
Kama ulisoma hapo changia kumbukumbuku zako na wewe.
Naimis shule hiyo...never be the same again.
Natanguliza salamu.
P didy kumbe umekula chumvi nyingi aiseee..!! 😹😹Nimefurahi sana hiithread mi nilimaliza 1993
Jamani sisi kimathi yuko wapi
Cc fina
Popote ulipo
P didy bado upo JNIA 😹Ingawa Nimetoka ila mwenyeshida na airport ya JNIA
Sio kupitisha mambo ya azania lakiinii
Aah
Hata porter nakusaidia ndio umuhimu wakuwa Huku
Sasa hawa ni wababuHabari yenu wanaJF,
Kama kuna wanaJF waliosoma shule ya msingi Forodhani na kumaliza 1992 au 1993 tujulishane.Nakumbuka mwalimu alikuwa mwalimu Mbuya,kuna baadhi ya walimu kama mwalimu Julius dah huyu alikuwa anachapa bakora hatari.
Kulikua na mwalimu James huyu alikuwa kama bondia,mwalimu Manyama, mwalimu Matata hao ni baadhi ya maticha tu.
Kitu kingine nachokumbuka ni ile mihogo ya kule baharini mnaikumbuka? Kingine ninachokumbuka tulikuwa tunafanya somo la ushonaji kulikuwa na sista mmoja wa kijerumani mfupi alikuwa mkali kama pilipili.
Hapo shuleni hapo kila Jumatano au Ijumaaa ilikuwa inakuja gari la matunda tunajisevia.
Elimu ilikua bora ada ilikua chini.Nakumbuka hadi huyu mtoto wa mkulu sasa hivi mwenye mambo mengi tulikuwa naye hapo shule.
Kwa kusema ukweli naikumbuka sana Forodhani shule ya msingi, kingine nachokumbuka wapinzani wetu wakuu walikuwa bunge shule ya msingi.
Kuna wanafunzi kama Alex Kitomari (RIP),Walter Mazula (RIP) na wengine baadhi yao wako mpaka leo.
Kama ulisoma hapo changia kumbukumbuku zako na wewe.
Naimis shule hiyo...never be the same again.
Natanguliza salamu.
Mage Igata alikuwa na tako sana.wako hai badooo??