Mbagala Tz
Member
- Mar 16, 2017
- 57
- 42
Habar wana jf
Ni kitambo sasa kimepita xijaonana na school mates wangu niliosoma nao BULYAGA PRIMARY SCHOOL TUKUYU MBEYA MWAKA 2001-2007, Kama mpo humu njooni pm tusalimiane maana ni muda kweli mpk nimewamiss