Kwa waliosoma BACHELOR OF IT tu.

ENZO

JF-Expert Member
Sep 30, 2010
4,242
1,736
Mamboz WanaJamvi .......
Ebwana naomba kwa aliyesoma BACHELOR OF IT anisaidie kuorozesha UNITS walizosoma kwa mwaka wa kwanza kwa mtiririko 1st to last unit jinsi ulivyosoma ww kwa semister.
ikiwezekana na units za 2nd nd 3rd year kwa anaezijua aniorozeshee.Thnx

****HAPPY NEW YEAR 2012****
PPBW
 
We vipi? Ondoa neno Waliosoma BRC ya IT "TU" upate msaada

siyo kwamba waliosoma BRC ndiyo tu wanaoweza kukusaidia mkuu,

pole sana
 
Barchelor of IT ndiyo kitu gani? Nina shaka utapata mtu yeyote aliyesoma "Barchelor of IT".
 
Mi poa!! kama m2 hajasoma hiyo IT atansaidia vipi?! .......unafikiri IT ni makalio kila m2 anayo.
 
Utajulia wapi? wakati kila kukicha upo jukwaa la MAPENZI ........We umesoma barchelar ya nn?
 
Mi poa!! kama m2 hajasoma hiyo IT atansaidia vipi?! .......unafikiri IT ni makalio kila m2 anayo.

Wenye BRC of Computer Science nao hawatakiwi ?
Jipange upya,hujui unataka nini?
we uliza swali watu wakupatie basi mabo ya kuwagawa ni ujinga wa kutolewa au uelewa wa ujinga
sina hiyo unayotaka lakini naweza kukusaidia tu.ila tu ukiwa mpole
 
Kijana hebu acha majigambo kwanza, rekebisha hiyo heading kwanza hamna kitu kama "BARCHELOR OF IT".....
Halafu mbona hueleweki unataka za chuo gani maana kila chuo kina mpangilio wake na je kuanzia mwaka gani?

Kama wewe unasoma IT kama unavyojidai unashindwa hata ku google........ kuwa na busara na heshima unapoomba msaada.
 
kijana sio alsima IT tuu ndie anaweza hata ss wa Law pia tunaouwezo huo so kuwa makini katika kuelezea humu hatubaguani sote ni wamoja katika technologia ndi maaana tunasaidiana kwa kila hali. Wee ukitaka course ya chuo fulani fungua website yao then nenda kwenye prospectus yao then hapo utaona course na units zake zote. Kama hujaelewa pia sema
 
siyo siri mkuu umekurupuka! hueleweki!
 
Wenye BRC of Computer Science nao hawatakiwi ?
Jipange upya,hujui unataka nini?
we uliza swali watu wakupatie basi mabo ya kuwagawa ni ujinga wa kutolewa au uelewa wa ujinga
sina hiyo unayotaka lakini naweza kukusaidia tu.ila tu ukiwa mpole

Poa mkuu nimekuelewa, mi ckuweka hiyo "TU" kwa maana mbaya, nimeiweka ili kupunguza kejeli, m2 akiona aimuhusu asiifungue achape mwndo maana siku hizi humu ndani m2 anaweza kuuliza ki2 cha maana m2 akajibu ovyo 2 anavyojisikia yy. so plz ht ww unaweza kunisaidia.
 
Kijana hebu acha majigambo kwanza, rekebisha hiyo heading kwanza hamna kitu kama "BARCHELOR OF IT".....
Halafu mbona hueleweki unataka za chuo gani maana kila chuo kina mpangilio wake na je kuanzia mwaka gani?

Kama wewe unasoma IT kama unavyojidai unashindwa hata ku google........ kuwa na busara na heshima unapoomba msaada.

Poa kaka mkubwa 2fanye hiyo BARCHELAR OF IT nimeiondoa. waweza kunisaidia? haijalishi umesoma chuo gani, jinsi ulivyosoma ww.
 
mkuu popobawa hilo neno hapo juu ni bachelor au barchelor hiyo unaimaanisha maana hilo neno halipo hata ukigoogle watakuleta hapa hapa JF
 
Lipeni ada kwanza, mambo ya units baadaye!

Thread imepoteza mwelekeo, aliyeianzisha ajipange kuuliza upya. Suala la units halijalishi umesoma B.Sc. IT au la!!
Pia mitaala inabadilika kulingana na muda/Chuo. Mtaala wa IT wa mwaka 2000 ni tofauti na 2011.
 
Back
Top Bottom